Recent content by Golden Kigolla

  1. G

    Sehemu nzuri za mashamba/ viwanja bagamoyo

    EPZ inachukua eneo kuanzia unapovuka Mto Mkuza ukiwa barabara ya Bagamoyo na usawa huo huo mpaka baharini na eneo lina extend kupita Zinga na kuendelea mpaka Kaole, Kiromo na Kitopeni. Lakini eneo la Bandari liko upande wa baharini likiwa imezungukwa (engulfed) na EPZ. Inasemekana (sina uhakika...
  2. G

    Maeneo ya Lubumbashi nI SALAMA

    Mkuu, siyo ulimi tu unaoteleza, hata macho pia huteleza. Lakini nashukuru kwa hilo dongo kwani litanifanya nisisinzie mbeleni!
  3. G

    Sehemu nzuri za mashamba/ viwanja bagamoyo

    ViwanjaVilivyopimwa (Surveyed Plot) – Maeneo ya Bagamoyo. Ndugu, nakupongeza kwa fikara zako za kutaka kuwekeza kwenye viwanja au shamba pande za Bagamoyo. Kuna viwanja (SurveyedPlots) zinauzwa Tshs. 13,500.00 kwa meta moja ya mraba (TZS 13500.00 per square meter). Viwanja hivi vipo 6 km...
  4. G

    Ukinunua ki/viwanja au eneo pande za bagamoyo mpaka msata hutakuwa umekosea!

    Kuna viwanja (Surveyed Plots) zinauzwa Tshs. 13,500.00 kwa meta moja ya mraba ( TZS 13,500.00 per squaremeter). Viwanja hivi vipo 6 km kabla ya kuingia Bagamoyo mjini ukitokea Dar esSalaam, upande wa kushoto. Eneo hilo linaitwa Mataya. Ramani ndogo pamoja nachati inayoonyesha viwanja hivyo...
  5. G

    Bei ya ushuru tra ya ist-2004

    CharterMaster, Sijakupata vizuri ulivyosema "…2004yrs/11months…" una maana gani! Nauliza hivyo ili kujua kama gari hilo lilisajiliwa kwa mara ya kwanza 2004 mwezi Novemba au la, kwani inaweza kuleta tofauti kubwa sana ya kama TZS 2,045,000.00 kwa exchange rate ya 1USD = 1600TZS Kwa...
  6. G

    Maeneo ya Lubumbashi nI SALAMA

    Ah sorry, niliangalia vibaya. Nilidhani umeipost siku nyingi. Ngoja tusubili wenye ufahamu watujulishe!
  7. G

    Maeneo ya Lubumbashi nI SALAMA

    Mkuu, naona hukupata response hapa kwa miaka yote hii! Sijui hakuna wadau wanaojua za huko au vipi! Ulifanikiwa kwenda? Na ulionaje huko?
  8. G

    Jifunze kichina cha kuongea

    Kazi Kweli-kweli!
  9. G

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Mkuu KVM na Malila! Nawashukuru sana kwa moyo wenu wakupenda ku-share information ambazo zinaweza zikafuta ufukara kwa watu tuliowengi. Ni watu wachache wenye mioyo ya kutaka kujuza wengine kwenye mambo yamaana kama haya. Nimefuatilia thread yote toka ilipoanza Aprili 2012 (mwaka juzi sasa)...
  10. G

    Wishing You A Happy New Year 2014 on My Birthday

    Kiongozi!! Una birthdate very special!! No wonder you are special! Happy birthday and and a new year!
  11. G

    Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Ndugu yangu, mtaji ukikua unaweza kupata Imported Incubator (ambayo ni sophisticated) yenye uwezo wa kutotoa mayai 1000+ inaweza kupatikana kwa takribani TZS 1,850,000.00. Ziko very automated. Ukihitaji baadaye basi unaweza kuwasiliana name kwenye 0754 787 775 au 0655 787 775.
Back
Top Bottom