Recent content by gold girl

  1. gold girl

    Mume wangu anapoteza hela yake bure, mimi sina uwezo wa kushika mimba

    Mbele ya mungu kila kitu kina wezekana tubu na umwambie mumeo ukweli na usali sana weka jitengee siku kama saba hivi za kufunga na maombi yani iwe serious kabisa na mtoto utapata hata kama huna kizazi
  2. gold girl

    Manara: Tumenyimwa penati ya wazi

    Yani uyu jamaa kila mech ye kilalamika tu loh! Basi tff waje wampe awe refa tuone atafanyeje
  3. gold girl

    Majibu baada ya kuomba kazi online

    Ngoja wataaramu wa lugha waje
  4. gold girl

    Nahitaji kumuoa Babe Kabae wa Clouds Tv kwma bado yupo single

    Mi namkubali sana uyu mama yupo makini sana adi raha
  5. gold girl

    Picha: Muonekano mpya wa Wema Sepetu, awapiku Zari na Hamisa

    Kwa umbo lake sio vyema kuvaa hivyo vitu
  6. gold girl

    BASATA fungieni wimbo wa 'Kibamia' wa Roma na Stamina

    Unajua huu wimbo unaonesha hali halisi ya vijana wa sasa wasaniii wetu wanaenda na mambo ya nayotokea hivi sasa kama ni kufungiwa basi na wowo ifungiwe
  7. gold girl

    Ombi...Tanesco uwanja wa Uhuru unachukua watu 22 elfu tu

    Bora huu mchezo wangeupeleka mwanza ccm kilumba
  8. gold girl

    Nilichomoa, nikavaa suruali, nikaweka shati begani nikaondoka bila hata kuaga. Alinitafuta week nzima..

    [emoji23] hatakuwa hajui kutumia maji vizuri alafu na wewe sio mtundu kabisa maana uyo unge mkalisha tu kikabana ukala
  9. gold girl

    Ni kitu gani cha kijinga usingependa kufanyiwa au kuambiwa wakati ukifanya mapenzi?

    Nilisha ombwa na mchezo ukaishia hapo hapo na sikutaka mazoea tena hata mbele hakugusa
  10. gold girl

    Ni kitu gani cha kijinga usingependa kufanyiwa au kuambiwa wakati ukifanya mapenzi?

    Sipendi kuniuliza Kama nimefika kilelen yani nachukia [emoji48]
  11. gold girl

    Wanawake msikate viuno kama ugomvi

    Mi naona kila mwanaume ana mapendeleo yake ya speed ya kiuno hivyo we ongea na mtu wako maana wengine ndo raha kuona mwanamke fujo
  12. gold girl

    Naomba nifundishwe namna ya kubembeleza wanawake jamani

    Hujapendaaa wewe siku ukipenda utaona
Back
Top Bottom