Huo wizi upo sana, ila mara nyingi hua wanapanda mwanamke na mwamaume halafu mdada andosndosha kiatu halafu wanakuomba ushuke uwaokotee, hilo vumbi lake watalokuachia sio la nchi hii.
Mimi hapa niliombewa nikapona ilkua mwaka 2004 na nipo safi mpaka leo na nimeshapima mara kadhaa nipo negative, unatakiwa uwe na imani ya kutosha. Mungu akutie nguvu mpendwa usigope hakuna linalomshinda Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiweke nyingi maana ikiwa nyingi wanaisikia harufu mkuu, pia nakushauri tumia nyanya igawe mara mbili, kisha pakaza kwenye uso wa kila kipande viwekwe maeneo mawili tofauti, hasa kwenye njia yao, pia weka juu ya gazeti, hakikisha hakuna maji yanayolala wazi au kama kuna sufuria za maji machafu...
Achezo habari za uzushi jamani, mimi mzee Athumani Amri (Majuto) ni mzee wangu, Mjomba wangu hakuna taarifa kaka hizobkwenye familia yetu, nakanusha vikali, mleta uzi tafadhali muogope mwenyezi mungu acha kuandika taarifa usizokua na uhakika nazo, God is watching you brother
Sent using Jamii...
Amen umeni inspire sana mtu wa mungu, mimi nilikua mhubiri na muinjilist lakini kutokana na changamoto za maisha niliamua kusimama kwanza, najua mungu atanitia nguvu nitasimama tena, Amen
Huyu Mtumishi Wa mungu kwanza ni muombaji sana nadhani ndio maana hata nyimbo anazotoa hua ni za kutoka rohoni kiukweli, Kama utamchunguza kwa makini nyimbo zaku zina uponyaji ndani yake, pia ni mnyenyekevu sana, ni miongoni mwa waimbaji wachache wa injili kwenye hofu ya mungu amen.
Nadhani hiyo huduma sio kwa wateja wote, mimi hua najiunga lakini wananiambia ni ofa ya yakwangu tu, hivyo nadhani sio wenye namba zote wanaweza kujiunga mahali popote, nadhani ikiwa inakusunbua ni bora uende eneo la chuo
Mimi sasa nimehamia voda naona hawa wengine wote ni wpiga dili,, hata mimi wamenipa hiyo ofa ya 2000 kwa 5gb nadhani sio kwa wateja wote isipokua ni kwa wale wateja waliotumia line zao kwa muda mrefu, coz mimi laini yangu ni ya mwaka 2007 so ina miaka takriban kumi sasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.