Hivi jamani kuna ugumu gani Serikali kuanzisha vyuo vikuu vya maswala ya dawa za asili?
Nilidhani pale Muhimbili wanatoa kozi kumbe ni wizi mtupu hakuna cha maana Serikali ilitizame hili swala kwa weledi mzuri kuna magonjwa mengi yanatibiwa na miti shamba, magonjwa ambayo hosptali yanapigwa...
Kama zuzu vile unaongea pumba tupu wewe imekuathiri nini? Isitoshe wewe huo mkataba unanufaika nao kwa kiasi gani au tangu uanze kuwaza huo upumbavu umeshapata nini? Unajua ni kitu gani kilichonyuma ya hili sakata au unaropokwa upumbavu? Ametia doa doa? Doa la nyoko
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.