Recent content by Gody

  1. Gody

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Anakuwa mshindi kwa muda kabla mwenye kiherehere mwingine hajacoment?
  2. Gody

    JamiiForums Tanzania Onyo kwa wanaotumia mafuta wakati wa kufanya mapenzi

    Acha kula watoto wadogo
  3. Gody

    JamiiForums Tanzania Kali ya J.mosi: teja yupo active vibaya mno!!!

    Si ni amepewa haki yake wa dukani
  4. Gody

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No R No E
  5. Gody

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    kuna bwana mdogo alivuma miaka 2010 - 2012 alikuwa wa Iringa alikuwa na kichogo hivi moja ya maneno kwenye wimbo wake hiphop........ msinishangae vile nina kisogo...........
  6. Gody

    JamiiForums Tanzania Nilivyokuwa najiona mjanja, nikaishia kutapeliwa Milioni 42

    Tulisuswa ndug
  7. Gody

    JamiiForums Tanzania Nilivyokuwa najiona mjanja, nikaishia kutapeliwa Milioni 42

    Utu upo wapi ? Ubinadamu upo wapi ? Umoja upo wapi ? Utanzania na u-JF wetu upo wapi ? Sehemu ya Pili ipo wapi Mr mutuu ?
  8. Gody

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Nyama hailiki bila chumvi!!
  9. Gody

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Yakipita masaa 3 kimya ndio nakuwa mshindi mwenyewe [emoji1787][emoji1787]
  10. Gody

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    Utu wetu upo wapi ? Ubinadamu wetu upo wapi ? Umoja wetu upo wapi ? Utanzania na u-JF wetu upo wapi jamni ? Muendelezo wa story yetu upo wapi ?
  11. Gody

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Sawa haina shida
  12. Gody

    JamiiForums Tanzania Nilivyokuwa najiona mjanja, nikaishia kutapeliwa Milioni 42

    Utu upo wapi ? Ubinadamu upo wapi ? Umoja upo wapi ? Utanzania na u-JF wetu upo wapi ? Sehemu ya Pili ipo wapi Mr mutuu ?
  13. Gody

    JamiiForums Tanzania Nilivyokuwa najiona mjanja, nikaishia kutapeliwa Milioni 42

    Sema wenzetu wengine mlikuwa wakishua unajua hii miaka unanunua simu unaweka ndani unatafuta hela kununua line(simu card) nakumbuka nilikuwa primary shule nzima simu alikuwa nayo mwalimu mmoja tu limche la sabuni lilikuwa likaa kwenye gari tunaenda kulichungulia tu kwenye vioo Sasa akaja...
  14. Gody

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Hahha daaadek Acha ubishi basi
  15. Gody

    JamiiForums Tanzania Nilivyokuwa najiona mjanja, nikaishia kutapeliwa Milioni 42

    Kula na like yangu aisee watu wanakosoa sana Yaani Wewe soma pita hivi hata kwenye hadithi za kutunga kuna cha kujifunza Sasa kwa maelezo haya mafupi tu kwa upande wangu umemaliza Na Sio DECI tu Kuna kitu hapa Juzi juzi ya KALYINDA na ESCATEC watu wamenyooshwa hivihivi na hakuna majibu mpka...
Back
Top Bottom