Recent content by godwise

  1. godwise

    Nilipata maambukizi ya 'gono' wiki chache zilizopita, nimetumia dawa ila zimedunda. Naombeni mawazo yenu

    Mrudie Mungu kwa sala kisha nenda kwa masai yoyote alie karibu yako muuzaji wa madawa ya asiri, muelezee atakusaidia dawa. Pole sana 😢
  2. godwise

    Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

    Daah imenikosha sana naitaj kubadrika 🥺
  3. godwise

    Ukishaolewa sahau habari ya busu!

    Inategemeana ntu na ntu
  4. godwise

    Madam Ritha achukia vijana kumtongoza

    Yeye ndie ana shida
  5. godwise

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wazee Kuna mwamba alituma odds 84 humu zimetiki ila betpawa hawajanipa Hela mpaka saivi sababu game moja iliahirishwa. Kwa mwenyew experience hii inachukua mida gani
Back
Top Bottom