Recent content by Godwine

  1. G

    Kwa wenye uhitaji wa viwanja na mashamba Dodoma

    Nahitaji kiwanja mkabala na mji wa serikali lakini kipakane na barabara kuu ya Dar
  2. G

    Jipatie laptop kwa laki mbili tu

    Ni aina gani ya Laptop... Imetengenezwa nchi gani?
  3. G

    Sh. Bilioni 700 si Haba na Wanaobeza Vibaba

    Jambo moja tu la kuweka fedha zao Kwenye mabenki ya kwetu litafungua tatizo la mzunguko Wa pesa kwani benki zitakuwa na kiwango cha ziada kuweza kukopesha Watu na ata riba za mabenki zitapungua... Pia ofisi Kuwa tz ni jambo kubwa kwani ajira..mafunzo... Miundombinu utabadilika... Kodi za...
  4. G

    Aibu nyingine uwekaji wa Jiwe la msingi Chongoleani Tanga!

    Kwani Ruge anacheo gani serikalini? Kwani wote walikuwa hapo wanacheo Serikalini? Kwani ata mseveni anacheo serikalini kwetu?
  5. G

    Aibu nyingine uwekaji wa Jiwe la msingi Chongoleani Tanga!

    Serikali inatekeleza ilani ya CCM na kinana Nadhani Ndio mtendaji mkuu wa CCM hivyo yuko Kiserikali zaidi
  6. G

    HABARI NJEMA: Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yashusha riba kwa Benki kutoka 12% hadi 9%

    Zinaweza kukopesha kwa riba ndogo tatizo ni ubunifu tu... Bank hazitegemei mkopo tu Bali amana za wateja wake ambazo zinapata kwa 0%
  7. G

    CNN: Makampuni 5 ya uchimbaji dhahabu hayajawahi kulipa kodi ya dola bilioni 40 tangu 2000

    Unapofanya makadirio kabla ya majadiliano lazima yawe juu hili kuwezesha kushuka
  8. G

    ACACIA yasema italipa mirabaha iliyowekwa katika sheria mpya ya madini

    Tatizo mnachanganya royalt na kodi zingine kiwango cha juu cha royalt duniani ni 10%
  9. G

    ACACIA yasema italipa mirabaha iliyowekwa katika sheria mpya ya madini

    6% royalt... 1% ukaguzi.... 30% ya faida kodi ya mipango.... 18% VAT.... Kodi Zipo nyingi Lakini 6% ni miongoni mwazo
  10. G

    IKWIRIRI: Jeshi la Polisi lawaua watuhumiwa wawili wa uhalifu Kibiti

    Kikubwa ni kupatikana Amani na usalama Kibiti kwa njia yeyote polisi wapongezwe ata kwa uchawi kikubwa wazuie mauaji....
  11. G

    Kibiti: Polisi yaua watu wanne(4) wanaodhaniwa kujihusisha na mauaji wilayani humo

    Kweli wameuliwa kwani Kibiti imetulia tulia sasa
  12. G

    Kibiti: Polisi yaua watu wanne(4) wanaodhaniwa kujihusisha na mauaji wilayani humo

    Watanzania tuna maneno mengi Yani page 26 Lakini maneno ya Aina mbili tu + and -
  13. G

    Kampuni ya NICOL imekufa?

    Kuna taarifa za kufutwa kwa kampuni ya Nicol Tanzania Kwenye list ya makampuni ya Tanzania huku kukiwa na idadi kubwa ya wamiliki wa kampuni ya Nicol hawajui kinachoendelea
Back
Top Bottom