Kampuni ya NICOL imekufa?

Kampuni ya NICOL imekufa?

Godwine

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2010
Posts
1,371
Reaction score
286
Kuna taarifa za kufutwa kwa kampuni ya Nicol Tanzania Kwenye list ya makampuni ya Tanzania huku kukiwa na idadi kubwa ya wamiliki wa kampuni ya Nicol hawajui kinachoendelea
 
Sijaelewa, unatoa taarifa au unauliza, maana kichwa cha habari kina alama ya kiulizo...
 
Ndo hiyo kampuni ilipigiwa chapuo watu wanunue hisa?
 
Hiyo ilishakufa kitambo mwanza walinunua kiwanda mfu cha samaki mali ya mjumbe wa bodi kwa billioni,kiwanda mpka leo hakijawahi zalisha hata kg 1 ya samaki
 
Back
Top Bottom