Recent content by Godwin Mmari

  1. G

    JamiiForums Tanzania Serikali iuze pembe za Ndovu zilizoko maghalani

    Kuna sharia ya kimataifa inayozuia biashara ya pembe za ndovu. Ngoja niitafute nikipata nitaweka hapa kwa msaada kwa wengine.
  2. G

    JamiiForums Tanzania The Darproperty November edition, NOW OUT

    Good job guys, jitahidini pia muwe mnatoa Online magazine hii itasaidia pia tusiokuwa na uwezo wa kupata nakala on time mara zote.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kufanya nae biashara

    Mkuu, Kwanza hongera kwa mpango wako wa kuamua kujiajiri. Napenda kukutia moyo sana juu ya uamuzi huo. Niko Guangzhou - China, tuwasiliane kwa +862086666888 au ni PM namba yako kuna bidhaa nyingi hapa unazoweza kuanzia kwa sasa.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Nauza toyota ist

    Kwa Tanzania hizi gari zipo bei ya chini sana mkuu sitarajii kufikia bei hiyo. Kwani kwa Japan tayari wameshaziweka kwenye Cleaning Open Market. Hivyo hata 850USD to 1000USD unaipata. Pamoja na kodi na usafiri haiwezi kufika 3000USD kwa Tanzania. Pengine ungeangalia soko kwanza kabla ya...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Hii ndege(5H-ZAI) ni ya nani na hufanya nini kwenye mbuga ya Selous?

    Unaweza kubofya hapa http://www.airport-data.com/aircraft/5H-ZAI.html inaweza ikakusaidia hasa pale chini palipoandikwa OWNER
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya haraka na masharti nafuu

    Then wakishamtimua?...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kikwete atakuwa USA kuanzia Alhamis ijayo

    No flip board?
  8. G

    JamiiForums Tanzania Operation delete CCM Moshi Vijijini hongereni sana!!

    Kura mbili kwenu si tatizo?
  9. G

    JamiiForums Tanzania Operation delete CCM Moshi Vijijini hongereni sana!!

    Juzi Jumanne mwenyekiti wa wazazi wa wilaya wa CHADEMA na mwenyekiti wa kijiji cha Tsuduni CHADEMA walivua kombati wakavaa magwanda. Hapo ni delete CCM au delete CHADEMA?
  10. G

    JamiiForums Tanzania Rais bora atatoka CCM - Mwalimu Nyerere

    Mkuu, sijui kama umewaza vya kutosha kabla ya kuandika huu uzi. Iko hivi; Mwaka 1992/95 ndio vyama vya Upinzani vimeanzishwa/kuanza kazi. Kabla ya hapo Watu wote walikuwa CCM (Kwa kutaka au kwa lazima ya mazingira) sasa ukisema kuwa vyama hivyo havijawahi kutengeneza viongozi wao wenyewe...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kukamulia Juice ya Miwa

    Bei nilizoweka ni bei za kununua hapa China. Gharama za kusafirisha ni kati ya 150USD hadi 200USD kulingana na uzito wa machine kwa sababu huwa natumia usafiri wa Ndege ya mizigo.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kukamulia Juice ya Miwa

    Bei zake ni Economy ...650USD Medium ...1,200USD Kubwa ...2,500USD
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kumbe James Mbatia ni Civil Engineer?

    Mnaacha kujadili namna ya kuishinda ukawa 2015, mnajadili elimu ya Mwanaukawa mmoja??? wake up guys!! :-!:-!:-!:-!
  14. G

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kukamulia Juice ya Miwa

    Hii ni Guangzhou-China.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kukamulia Juice ya Miwa

    Zinapatikana kubwa, Medium na Ndogo kwa ajili ya matumizi ya nyumbani Mkuu. Tuwasiliane + 862066688888 au PM
Back
Top Bottom