Recent content by godn

  1. G

    JamiiForums Tanzania GE2015 Amini Usiamini, Kama Mwalimu Angekuwa Hai Hadi Leo!, Angemsupport Edward Lowassa!.

    Lowasa ni chaguo la watu
  2. G

    JamiiForums Tanzania Lowassa anastahili kuzawadiwa "Certificate of Merit in Political Tolerance and Political Maturity"

    Huyu anayesema Lowasa ni mwizi ameibiwa nini? Mbona hamjampeleka hata kwa mjumbe basi kama mmeshindwa kumpeleka mahakamani? Wezi wako ndani Yona na kina Mramba wengine kina tibaijuka na Chenge magufuli amewanadi kuwa ni watu Safi sana kwa taifa la Tanzania. CCM hatuna hamu nayo. Mtu ni fisadi...
  3. G

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora

    Hata nnyerere hakuwahi kuchaguliwa kwa 99%
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kauli hii ya Nyerere sasa imeanza kuzaa matunda na kuendelea kujidhihirisha kwa watanzania

    Hizo kwa Sasa ni hadith za alinacha
  5. G

    JamiiForums Tanzania Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

    Magufuli Hana leadership Charisma hata iweje
  6. G

    JamiiForums Tanzania CCM Wapo Hoi Kanda Ya Ziwa, Watumia Jina La Heche Vibaya

    Mnasema hapa kazi hizo kazi ziko wapi wakati watanzania na Mali zao walishauzwa
  7. G

    JamiiForums Tanzania Monduli kumuunga mkono mgombea wa CCM

    Chana cha umaskini na ufukara kwa watanzania. Chama ambacho kimeuza nchi aliyoikomboa kwa gharama Kubwa Mwl nnyerere? Sio hii CCM ya leo hii ya leo ni CCM ya wauaji walaji na mafisadi
  8. G

    JamiiForums Tanzania UKAWA lazima okoeni jahazi linazama sasa

    Kaskazini ni maendeleo sio majungu na umbeya. Kaskazini maendeleo tangu zamani wala sio leo hatuna muda wa umbeya. Umbeya peleka chalinze msoga
  9. G

    JamiiForums Tanzania UKAWA lazima okoeni jahazi linazama sasa

    Unataka tuyaweke mambo yetu ya ndani huku mitandaoni? Huku CCM ndio wanajianika
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini UKAWA itashindwa vibaya?

    CCM magufuli hauziki hata kwa mafungu eleweni tu na ndio maana hata ilani ya uchaguzi ya CCM kaiweka pembeni then anabaki kushangaa
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini UKAWA itashindwa vibaya?

    Mnatafuta pa kujishika CCM mwaka huu kila mti unateleza
  12. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini UKAWA itashindwa vibaya?

    Hakuna alokatishwa na tamaa na lolote linalohusiana na slaa na lipumba
  13. G

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Kiislam yatoa tamko dhidi ya Lowassa na Gwajima, kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015

    Huyu mtoa post ni mchochezi na Wala hafai jamii yetu na huenda hata huyo alotoa Hilo tamko kuongwa kama wenzake slaa 2.4 b
  14. G

    JamiiForums Tanzania Ni aibu watu wazima kusema Uongo, Mtama ya Nape na CCM

    Me hata CCM isipokufa mtama but Nape hatumtaki
  15. G

    JamiiForums Tanzania Masaburi awakonga wakazi wa Ubungo

    Ahhaaaaaa huyu anayesema Masaburi ubungo nahisi anajaribu kujifikirisha me ni mkazi halisi wa ubungo Masaburi Hana kitu zaidi ya kununua watu ubungo hela zake tunakula cos kwa Muda wote wa yeye kuwa Meya amekuwa jeraha Kubwa kwetu. Hela tunakula kwake kura hatumpi
Back
Top Bottom