Recent content by Godman Autodidact

  1. Godman Autodidact

    JamiiForums Tanzania Jana nilikutana na Yesu Manzese

    Wagonjwa wa akili ni wengi sana siku hizi, na sio lazima mtu avue nguo maana nguvua nguo ni stage ya mwisho. Wahi mirembe mkuu, tatizo lako linatibika.
  2. Godman Autodidact

    JamiiForums Tanzania Lissu, alikuwa hajui kuwa anacheza na moto akili itakaa sawa

    Quran inaharibu sana akili, ona sasa haya mashudu na pumba unazotoa🚮🚮
  3. Godman Autodidact

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi akikataa wito wa Mahakama, mtamfanya nini?

    Nguvu kubwa Iko kwenye brain, not gun. Silaha imetengenezwa na akili. People with highest IQ levels and geniuses are ruling the world, not gun. Lissu anaipelekesha serikali na CCM yote Kwa akili sio bunduki.
  4. Godman Autodidact

    JamiiForums Tanzania Lissu apendekezwa kuwania tuzo ya Sakharov, yenye heshima ya juu zaidi inayotolewa na Umoja wa Ulaya (EU)

    Kwa mpigania haki kumuweka gerezani ni sawa na kumpigia chura teke.... Gereza ni credits na certificate ya hali ya juu ya kuhitimu kwa mpigania haki. Kwa kukaa gerezani kwake leo hii dunia inamtambua na kumuweka level moja na watu mashuhuri duniani eg. Mandela. Hakuna mpigania haki mwenye...
  5. Godman Autodidact

    JamiiForums Tanzania SAKATA LA SEA CLIFF: Mtego wa kisiasa alionasa Mange Kimambi na Majibu ya Dada wa Tundu Lissu (Uchambuzi wa Kiintelijensia)

    Mange Kimambi ajue kuwa kwa sasa taarifa inabidi awe anathibitisha, asikurupuke maana adui zake tayari wamefanikiwa kuharibu sehemu ya credits za habari zake. Kwenye hizi zama za info, sio lazima kumuua adui yako kimwili, ata kuharibu credit yake kwenye habari ni pigo la kukuondoa kwenye dunia...
  6. Godman Autodidact

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Wanaopigana na mimi wataadhibiwa na Mungu muda siyo mwingi

    Lema kadiri anavyojitetea ndivyo anazidi kuharibu, hakuna Mungu mwenye kusimama na maovu na waovu. Kumtumia Mungu kwenye kujibu hoja ni udhaifu mkubwa, aongee facts na kuepuka conspiracy theories. Wananchi wa sasa wanaufahamu mkubwa, internet social media imeenea kote. Hizi sio nyakati za...
  7. Godman Autodidact

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Wanaopigana na mimi wataadhibiwa na Mungu muda siyo mwingi

    Well analysed, Lema ni Zitto Kabwe mtarajiwa.
  8. Godman Autodidact

    JamiiForums Tanzania Mchome: Risiti zinaonyesha Heche kupokea milioni 20 bila kupitia chama

    Ukiona CCM na wasaliti wako hawakupi shutuma ujue Kuna mahali umeharibu. Lakini ukisikia wanapiga kelele na kukupa shutuma, jua uko kwenye njia sahihi. Heche aendelee kushikiria hapo alipo, historia itamuweka mahali pazuri sana.
  9. Godman Autodidact

    JamiiForums Tanzania Mtakufa nyie, mie nitawazika

    Hakuna tukio ambalo watanganyika wanasubiri Kwa hamu kama hili la JK kung'ata shuka. Sijui Kwa nini watu wa ovyo wanakawia kufa? Anyway, hana maisha marefu, soon...
  10. Godman Autodidact

    JamiiForums Tanzania Barabara zote ni za serikali, polisi wanaweza kukuzuia kuweka gari lako barabarani!

    Serikali ni mwajiriwa wa wananchi, na sisi wananchi ndio walipa Kodi ambazo ndio ujenga barabara. Kimsingi mwanachi ndie mmiliki wa barabara, hapaswi kubugudhiwa. Kinachohitajika ni kuweka taratibu mzuri na sheria zisizo kandamizi.
  11. Godman Autodidact

    JamiiForums Tanzania Wamasai wenye rasta walitulizwa na Masai rapa, mwenda pole hajikwai, alijikwaa baada ya kutegwa na jiwe kubwa, hakunyanyuka tena!

    Mwanaume mzima unaongea Kwa code kama unaimba taarabu! Hizo lyrics za taarabu mtumie mkeo au mumeo, Kuna faida gani kutoa code na ujumbe kufikia wachache tena kwa utata? Kama una taarifa toa Kwa uwazi, Tulipofika kama nchi hatuna muda wa kuumiza kichwa na taarabu.
  12. Godman Autodidact

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi amchana Lissu na CHADEMA kwa kuleta mizaha kwenye harakati za kukomboa Taifa kufuatia salamu za Lema na Lissu kwa kifo cha mume wa Rais

    Mange Kimambi Yuko sahihi kwenye hili. Samia ameua watu wengi kuliko Rais yeyote wa Tanzania tangu Uhuru, ameteka wengi na kuwatendea unyama mateka eg. ufiraji, nk. Ameweka gerezani watu wengi kuliko ata mkoloni alivyofanya, amefisadi nchi, kaharibu maisha ya wengi na taswira ya nchi...
  13. Godman Autodidact

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa majeshi (CDF) na IGP wakienda mahakamani Lissu atahukumiwa kunyongwa

    CCM na wajinga wake wote hawana uwezo wa kumhukumu Lissu kunyongwa, wanajua siku wakiamua ivyo ndio mwisho wao. Dunia itakuwa ndogo sana kwao.
  14. Godman Autodidact

    JamiiForums Tanzania Muhadhiri wa UDOM, Melkisedek Kaijage aachiwa huru, Apewa Masharti

    Tumeruhusu ma-boko haramu yanayokunywa damu kuingia ikulu, what do we expect?
  15. Godman Autodidact

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Ulinzi na Usalama, someni maandishi yaliyopo ukutani

    Kulaumu vyombo vya usalama ni kutokujua katiba yetu ilivyo. Katiba yetu Rais ndie ultimatum wa maamuzi yote, Rais anateua na kutengua yeyote na halazimiki kufuata ushauri wa yeyote. Katika mazingira ya namna hii hakuna kiongozi yeyote mwenye ubavu wa kugomea amri ya Rais. Samia pekee ametumbua...
Back
Top Bottom