Umeelezea kwa making na kwa ufasaha sana jinsi gani nguvu inazalishwa mwilin...
Lakin kuna sehemu umewapotosha wasomaji....
Swali langu nauliza ...wachezazi wanaingiaga kwenye mapipa ya mabarafu baada ya mechi tu kuisha...iweje kwenye mechi watumie energy na nguvu kubwa alafu waje waingizwe...
Kaka mtoto wa nyoka ni nyoka tu...elewa neno nyoka"...kengine ni kwamba wizara zake babaaaa wizara babbaaaa anazoongoza....mbona watanzania bado tupo na ulembukeni hvi au unaona Ile baby face yake basiii!! Unaona fresh mwadilifu sio. Magufuli alimpumzisha aujui kwanin alifanya hivyo...sabuni...
Tatizo la watanzania amtaki kusoma katiba yenu...nenda kasome majukumu ya DC alafu urudie iyo sababu ya Samia unayosema wew .alafu angalia kama iyo sababu ipo kwenye katiba nimekaa apa nakusubiria
Kaka najua unaipenda sana nchi yako....lakini najutia na kukusikitikia kwamba aujui kitu chochote kuhusu nchi yako...waache wanayoijua waipambanie iweze kuwa sawa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.