Recent content by Godlisten sanuka

  1. Godlisten sanuka

    JamiiForums Tanzania Nimeandika sana kuhusu vita zinazoendelea ulimwenguni kwamba ni roadmap ya mwisho wa dunia

    Kwa hakika usipuuze ujio wa pili wa yesu kristo Huyo ndiye mwanzo na mwisho yeye ndiye njia na kweli na uzima MARANATHAA
  2. Godlisten sanuka

    JamiiForums Tanzania Kwanini Hamas hawaweki silaha chini?

    IPO siku wataisha na watafutika hamasi haitakuwepo duniani Giza haliwezi kushindana na NURU Likashinda.
  3. Godlisten sanuka

    JamiiForums Tanzania Marekani Dunia anaionaje?

    America haitaanguka! Sahau kabisa kuhusu Hilo Unabii hauoneshi anguko lake
  4. Godlisten sanuka

    JamiiForums Tanzania Wapalestina waanza kuondoka Rafah, patapigika haswa

    Naam Kwa ajili ya ndugu zangu na rafiki zangu niseme Sasa,Amani ikae nawe Kwa ajili ya nyumba ya BWANA,MUNGU wetu nikutafutie mema Zaburi 122:8-9
  5. Godlisten sanuka

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa na karama ya kulaani ningelilaani Italia (Roma) kwa kusababisha usumbufu kati ya Myahudi na Muislam

    Kuna vingi usivyo vijua kuhusu uislam na ukatoriki utaushia kutukana tu!.. Jibu ni hilo Hilo kuwa ukatoriki ndiyo uliozaa uislam Alafu wakatoriki sanamu wanazo na hata uislam sanamu pia wanazo haya hizo alama za mwezi na nyota kwenye misikiti yenu Huwa inamaanisha nin?
  6. Godlisten sanuka

    JamiiForums Tanzania Israel kushindwa kuimaliza Gaza na kuikalia hadi siku ya leo, angeingia vitani na Ukraine angetoboa?

    Watu wanazungumzia vita kama wanavyozungumzia mpira
  7. Godlisten sanuka

    JamiiForums Tanzania Muundo wa Binadamu na sifa zake ili kufikia hatma yako

    Mungu akubariki ndugu walker water
  8. Godlisten sanuka

    JamiiForums Tanzania The Secret of Indulgences and Establishment of Protestant Church

    Hiyo miaka 1260 ilitimia mwaka 1798 na utawala huo wa Roma ulianza 538 hadi 1798
  9. Godlisten sanuka

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kwamba yupo mwanamke wa kwanza kuumbwa kabla ya Hawa?

    Ogopa Sana kuwa upande wa yule adui kazi ya shetani dunian ni kupotosha kazi ya MUNGU aliyoifanya au anayoifanya na Kitu pekee kitakacho ihukumu mbingu na dunia ni BIBLIA kwa kila mtu na ijara yake. Tubu na uiamini injili bado ukiwa hai leo ukifa Leo huu ujinga hutapata muda wa kuutubu Na...
  10. Godlisten sanuka

    JamiiForums Tanzania Chuki dhidi ya Rais Samia ni kwasababu ni mwanamke

    Hawatakuelewa
  11. Godlisten sanuka

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo: Kuna wizi mkubwa wa fedha za Serikali kwenye jiji la Arusha

    JPM ALIKUWA MWAMBA alikuwa anashughurika na wazembe Kama nyie NAOMBA umuache apumzike sasa
  12. Godlisten sanuka

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna tatizo gani CHADEMA? Linapokuja suala la michango mbona hamuiweki wazi?

    Huna akili kabisa yaani aliyekuchangia ndiye afate taarifa ya mchango ofisini?
  13. Godlisten sanuka

    JamiiForums Tanzania EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

    Sisi wa katavi Namba tutaisoma sana huu utawala sidhani Kama upo kwa ajili ya kuwatumikia watanzania
Back
Top Bottom