Recent content by godknows

  1. G

    JamiiForums Tanzania Depression inaniua

    Atakuwa mtu wa Iringa huyu
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mwenye mfano wa andiko la mradi wowote naomba anisaidie

    Hapa ni kuwapa ushauri wa kisaikolojia na kuwapa awards kwa wale ambao wamejituma kufanya kazi ili kuwainspire wengine.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mwenye mfano wa andiko la mradi wowote naomba anisaidie

    Nahitaji kuempower vijana waliokata katamaa hasa wale waliomaliza vyuo na wamekosa ajira. Nisaidie mkuu sina idea yoyote ndo mana nimekuja jukwaani kuomba msaada
  4. G

  5. G

    JamiiForums Tanzania Mwenye mfano wa andiko la mradi wowote naomba anisaidie

    Asante mkuu nimefanya hivyo lakini nafsi yangu inaniambia hapa ni uhakika sana
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mwenye mfano wa andiko la mradi wowote naomba anisaidie

    Social initiative mkuu
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mwenye mfano wa andiko la mradi wowote naomba anisaidie

    Salaam wakuu! Sisi sote ni watanganyika na wazanzibari tunaoishi kwa kupendana kwa kudumisha udugu wetu. Naomba mwenye sample ya andiko la mrad wowote anisaidie. Kama mtanganyika nahitaji kuandaa andiko langu ili niweze kujitafutia walau riziki yangu. Naomba msaada tfadhali.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Shukrani mkuu kwa maelezo mazuri
  9. G

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Mkuu wewe wa kuongea maneno yote haya.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Wakuu naomba kuulizia habari za huyu jamaa maana nimeona anatrend sana. Aliye na taarifa nae tafadhari.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Tahadhari barabarani

    Ni raha kama ukiwa wakishua
  12. G

    JamiiForums Tanzania Tahadhari barabarani

    Baada ya matokeo ya leo aliyoyapata Yanga watu wengi tutapata misongo na depression kwa sababu hatukuzoea. Rai yangu kwa watanzania wote, tuchukue tahadhari ya hali ya juu tusije kuleta maafa makubwa zaidi ya haya tuliyoyapata.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Mtumishi mwaminifu

    Tafuta hela huyu mtumish asiwe na kiburi kwako unapompa maagizo
  14. G

    JamiiForums Tanzania Mtumishi mwaminifu

    Mimi nilikuwa sijui
  15. G

    JamiiForums Tanzania Mtumishi mwaminifu

    Habari zenu mabibi na mabwana. Kama ilivyo ada napenda kuposti vya manaa siku ya ijumaa maana ndo weekend tunaianza. Leo katika pita pita zangu wakuu, nikakutana na wazee wa umri mkubwa kidogo nadhani ni wasitaafu kwa kuwaangalia muonekano wao. Wakawa wamekaa na kupeana habari zao kwamba...
Back
Top Bottom