Recent content by Godio

  1. Godio

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Spika wa Bunge hana mamlaka kisheria kumwita CAG Kamati ya Maadili

    Hilo mbona linafahamika na kipindi wanampinga wananchi waliwajia juu kwasababu walikuwa bado hawajamfahamu bosi kubwa ni kinyonga mwenye rangi gani. Lakini kwa sasa hili suala linashughulikiwa ndio maana #AzimioLaZanzibar safari hii wananchi wameishaanza kuunga mkono.
  2. Godio

    JamiiForums Tanzania Mwanaume changia hapa, mwanamke atakayekupa like zama naye PM

    Duh! Haya mambo haya
  3. Godio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina wanaume watatu nilio nao kwenye mahusiano. Nimchague yupi?

    1. Hao waume za watu hawana upendo kwako isipokuwa umekuwa faraja kwenye ndoa zao ili ziendelee kuwa na amani kwahyo wanakutumia tu. Na wanajua wewe unahitaj sana kutunzwa na wao ndio maana wanaomba uwazalie kwasababu hutokuwa na jeuri tena wao ndio watakaoamua juu ya maihitaji yako baada ya...
  4. Godio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

    No Gain Without Pain[emoji16]
  5. Godio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwezi amini nimepigiwa mke wangu kweupe

    Pole sana mkuu. Mambo ya ndoa magumu. Tafakari nafsi yako kama inaweza kumsamehe tena bila kukumbuka. Kama inaweza msamehe kama yeye pia atajutia kwa dhati matendo hayo. Kama nafsi haiwezi achana nae kabisa uendelee na maisha yako. Maisha ndio haya haya kama ndoa haikupi furaha kwanin uing'ang'anie.
  6. Godio

    JamiiForums Tanzania To you my love

    Kuna samsung Kuna iphone Kuna tecno, n.k. Ubunifu sio hivyo tu ni pia kuja na kitu kama kilekile lakini kilicho bora zaidi ya mwenzako
  7. Godio

    JamiiForums Tanzania To you my love

    Tungekuwa wabunifu kwenye mambo ya kimaendeleo kama haya tulivyowabunifu wa maneno basi tungekuwa tunaunda simu zetu tu kwa sasa.
  8. Godio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napitia katika changamoto kubwa

    Unajua watoto wa kike wengi hawalijui hili: Kadri mtoto wa kike anavyokuwa au/na anavyoongeza kiwango cha elimu ndivyo anavyopunguza idadi ya wanaume wa kuwa nao. Mwanaume wa umri wako anaweza kuoa mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 18 lakin wewe huwezi olewa na kijana wa umri huo. Tafatuta wale...
  9. Godio

    JamiiForums Tanzania Bombardier zaingiza zaidi ya Tsh 4.500,000,000 (bilioni 4.5) kwa Mwezi kwa mwaka ulioishia 2017: Dreamliner kuongeza mapato maradufu.

    Taarifa za kusadikika hizi. Hazina hata uhalisia.
  10. Godio

    JamiiForums Tanzania Wanaume: Acha ujumbe kwa demu aliyekula nauli alafu hajatokea!

    Nafikiri roho ya kimaskini ndio chanzo cha kula nauli. Ukiwaza kitajiri nauli ni ela ndogo isiyoweza kukutoa kimaisha. Ndio maana wengi wao hawafanikiwi kwasababu wanaishi na manung'uniko ya waume walio walia nauli. Kama humuitaji mtu mwambie wazi na nauli yake kataa asikutumie. "Ela ya Mwanaume...
  11. Godio

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

    Kila ka kheri huko unakokuita kwa ukweli. Umewaangusha wananchi wako. Tunaamini watu wa kabila lako ni majasiri lakini wewe umekubali kuwa bidhaa ununuliwe.
  12. Godio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitu gani kikubwa ulichowahi kuhonga au kuhongwa ambacho hutakisahau maishani mwako?

    Aii wewe
  13. Godio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitu gani kikubwa ulichowahi kuhonga au kuhongwa ambacho hutakisahau maishani mwako?

    Duh[emoji79]
  14. Godio

    JamiiForums Tanzania Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

    Safi huo ndio utu
  15. Godio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemwacha kwangu toka asubuhi, kila kitu kiko ndani, nimerudi muda huu yaani hajapika anangalia maisha magic bongo!

    Anyway inawezekana hajui kupika. Ni bora umuulize kana anajua kupika ili kama hajui umfundishe. Otherwise, kama anajua kupika basi huyo ni mvivu kwa 100% kama ulikuwa na mipango ya kuwa mke sitisha. Jilie vyako tu kisha achana nae.
Back
Top Bottom