Recent content by Godinho Mpuka jr

  1. Godinho Mpuka jr

    Nani aligundua kipimo cha IQ?

    Akili ipo ndani ya ubongo
  2. Godinho Mpuka jr

    Nani aligundua kipimo cha IQ?

    Akili ni kiuongo cha binadam kilichopo ndani ya kichwa ambacho huendesha shughuli za ufahamu mf . Kuona , kushika na kusikia
  3. Godinho Mpuka jr

    Mtu huzaliwa na akili au anazipatia duniani ?

    Tueleweshane kama unafaham
  4. Godinho Mpuka jr

    Mtu huzaliwa na akili au anazipatia duniani ?

    Kwahyo akili ni connatural to man
  5. Godinho Mpuka jr

    Mtu huzaliwa na akili au anazipatia duniani ?

    Kuna baadhi ya wanasayansi husema kuwa mtoto anapozaliwa anakua ni tablalasa ( empty head) , lakini pia mtoto anapozaliwa kuna vitendo anavifanya bila kufundishwa mf . Kunyonya Je ukweli ni upi apa wana JF
  6. Godinho Mpuka jr

    Nani aligundua kipimo cha IQ?

    Shida ndo iko apo mtu huzaliwa na akili au anazipata dunian ?
  7. Godinho Mpuka jr

    Nani aligundua kipimo cha IQ?

    . 1: IQ ni intelligence quotient ambayo kwa tafsir fupi ni uwezo wa kuchambua na kuhefazi kumbukumbu akillini mwa mtu mf. Mtu mwenye IQ kubwa huangaliwa sana katika Mathematics Pia kuna tofauti kubwa kati ya Akili na maarifa hiyo ni mada nyingine , ila IQ ipo katika Akili
  8. Godinho Mpuka jr

    Déjà Vu inathibitisha binadamu tulishawahi kuishi maisha tunayoishi leo tangia kale

    Nazani hilo jambi ni laki falsafa zaidi according to plato Rationalism that " Human body is the prison of his soul "
  9. Godinho Mpuka jr

    Kesi ya Uhalali wa Muungano kuhamia The Hague

    Zanzibar wanaathirika na muungano kivip
  10. Godinho Mpuka jr

    Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

    Kwa kufuatalia tunakuja kujua kuwa binadamu wa kwanza kuumbwa alikuwa Adam na lilith na baadae kuja hawa ? Kwa anaefaham kuhuc historia hii tubadilishane mitazamo
  11. Godinho Mpuka jr

    Mwenyekiti wa CHASO - UDOM yuko mahabusu wiki ya pili sasa kwa kosa la kuwashawishi wanafunzi wa mwaka wa kwanza kujiunga na CHADEMA

    Hko ktu ni power conhesive kama vyama pinzani wanataka madaraka wayatafute kwa uhalali na cio kwa kutesa raia wasio na hatia
  12. Godinho Mpuka jr

    Kwa anayeweza kujiunga na kupatana .com anielekeze

    Jinsi ya kulogin kupatana .com Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom