believer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 633
- 213
Tangu kuumbwa kwa Dunia, kumeshuhudiwa gunduzi nyingi sana zingine zikiwa kutisha. Najiuliza ni nani aligundua namna ya kupima IQ.
Tunaambiwa IQ ni uwezo wa mtu wa akili na ufahamu, inapima kwa namba, maana yake ni kiwango cha uwezo wa kutatua changamoto kwa upeo, uharaka na pengine kwa urahisi kuliko mwingine kwa namna ambayo inaweza kupimika (Tafsiri hii ni kwa mujibu wangu)
Aliyegundua IQ ni nani?
Ilikuaje?
Aliyegundua kupima IQ yeye alikuwa na IQ ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app