Upo sahihi mkuu,mimi nilipita tu hapo nikitokea kwenye safari zangu ndipo nilipokutana na mtoto huyu.
Ni Kilosa hapo karibu na kambi ya Yapi Merkezi sijajua panaitwaje hasa kwa jina lake la utambuzi.
Maisha ya binadamu ni fumbo lisilo na jibu.
Wakati wengine wakiwa wanakula na kusaza,wengine hawaijui hata dakika moja ijayo mbele yake watakula nini na kulala wapi.
Ndivyo ilivyo kwa binti mdogo wa makadirio ya miaka nane anayeishi wilaya ya Kilosa anavyoishi.
Inasikitisha sana.
Wakati...
Wanandugu,
Habari.
Kutokana na muendelezo wa kuhamisha watumishi toka sehemu A kwenda sehemu B hasa walimu toka shule moja kwenda nyingine,inaweza kuwa toka katika shule za misingi kwenda shule nyingine ya msingi au kutoka sekondari kwenda sekondari au pia shule za misingi,ninaomba mwenye...
Mashaka yangu pia yapo hapo.
Kama ni hivo,huyo alikuwa ni dereva tu wa OCD,kusema tu nasafiri na OCD anaomba silaha akapewa. Je angekuja kwa mfano mke wa mkubwa zaidi na kusema anasafiri na big boss si angepewa hata silaha mbili.. !?
Nadani wao wenyewe wanajua taratibu zao za kazi.... Labda...
Kusema ukweli kuna aina ya vifo ambayo huacha majonzi na simanzi sana kwa ndugu na jamaa zetu.
Inaumiza kweli kweli kwa ndugu zake na jamaa zake.
Ulazwe pale ambapo unastahili kamanda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.