Ebwana naomba usemehe moyo wako! Wanawake wembamba ni watamu cyo kidogo na wanajua kuji2ma kitandani! Unaweza kugeuza upendavyo, unaweza kupiga styl yoyote we ujui 2! 4 that nakupinga kaka! Wanawake wembamba wana flever zao bwana
Pole xana kaka! But in short she dont love u! Na nadiriki kusema it waz not ur pregnance, achana nae manake kama kaweza kuuwa kiumbe kisichokua na hatia atakaye fuata ni wewe,, she dont love u! I decide 2 say she iz a KILLER, wanawake wapo wengi ebu muonge mungu manake huyo hana hata hofu ya...
Kwanza pole kwa mkasa ukiokukuta ila wazungu wanasema kwamba"True love never ask why!!" Kama kweli umempenda na upo tayari kuishi nae chukua uamuzi mgumu! Ila my advice 2u, never hate ur mum! Prey 4her and one day she will know that is wrong, plz and plz again dont hate ur mama bwana,!
Pole sana kaka! Ebwana angalia ulipokosea mwanzo! Mke mwema au mume mwema hutoka kwa bwana, piga goti kaka muombe mungu na utampata aliye wako, huyo siyo wako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.