Nipo njia panda naombeni ushaur

Nipo njia panda naombeni ushaur

Msamehe tu!!!!!!!!!! Kwani
wewe umekosea wangapi? Sie binadamu hakuna mkamilifu! This is exactly
what a weak man will do!

USIMSAMEHEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!

1. She disrespected you purposely kwa kufanya ufuska in her matrimonial
home and matrimonial bed!!!!!!!!!! Hii ni zarau kubwa sanaaa to your
manhood!

2. Hakupendi kabisaaa! She made a choice kumpa ubuyu mwanaume mmoja and
that man wasnt you dude!!!!!!!!! Ooooppps!!!!!!

3. She isnt sorry but stranded! Kama alijuta ulivomfurumusha
angekimbilia kumuomba mama yako amuombee msamaha! But she did is leave
without turning back kama Lutu vile alivoondoka gomora na sodoma. Miez
mitano maisha yamempiga ndo kakukumbuka zoba lake.

4.I bet you 200% atarudia tena coz YOU DONT KNOW WHY SHE DID IT IN THE
1ST PLACE!!!!!! Think Boy! Think!

Alichokiunganisha Mungu binadamu asikitenganishe! (Najuuuuuuuuuta
kufungua hii thread)

@lara1, lara1 kwanin unasumbua mbongo zetu? hueleweki, untuweka njia panda! I bet utakuwa na jinsia mbili!
 
Cha msingi hapo rudi magotini maandiko yanasema mali mtu aweza kuipata kwa wazazi ila mke mwema anatoka kwa mungu chamsingi kama unamwamini mungu muombe basi yeye atakupa hiyo amani moyoni mwako maana unaweza ukamrudisha bila mungu ikawa ndiyo kuangamia kwako suala la mapenzi siyo kama wengi wanavyodhani kuna magonjwa na mengine mengi bro ushauri tu
 
nataka kulewa - diamond platnumz. we unahudumia wenzio ndo wanakula
 
Nilikuwa na mke akapatwa na ugonjwa lakn nikafanikiwa kumuuguza na akapona ila akaniambia hana ham ya tendo la ndo lakn baada ya wiki nikasafir kikaz kumbe mke wangu anauhusiano na rafki yang niliporud akaniambia bado hana ham kabisa nikawa namwacha lakn sk1 nilikuwa kazn usk nikapgiwa sim na mtu nisie mjua akanambia nenda nyumban kwako kajionee uchafu wa mke nikaenda na nikawafumania kweli iliniuma sana skuwafanya lolote badala yake nikamwamuru aondoke kwang si mke wang tena baada ya miez mitano akaja kwa mama yangu kumwomba amwombee msamaha ili turudiane nae mama ananiambia nimsamehe , lakn moyo wangu hautaki hata kumwona. Naomben ushaur wenu

fuata moyo wako.
 
Mbona wapo wanaume wanaambia wake zao hawajisikii kufanya tendo la ndoa mwaka mzima! Amsamehe tu ndo ndoa za kisasa hizo.
Hili neno kusamehe naona tunalitumia vibaya sana.Unanyimwa chakula cha mzee halafu anapewa rafiki yako???Kwa ushauri wangu achana nae maana hata hapo kwenye red panachangia,unaweza kujikuta siku moja unaua.
 
Hahaha angekuwaga anampa walau kamoja ingejustify kumcheat?

Amsamehe bwana shetani alimpiyia. Or else jamaa ndo alikosea. Labda mama wa watu alikuwaga hashibi. Wanaume si ndo wanatokaga nje kama hawaridhishwi? Sasa mama wa watu kaonjeshwa pilau huko kwa rafiki-shemeji, akirudi home hataki mlenda.
fuata moyo wako,mwambie akaolewe na huyo rafiki yako,mtu amekunyima unyumba kisa mwanaume mwingine
 
Brother huyu mwanamke kwakeli hanaheshma hatakidogo kufanya ufuska sio thambi bt hajui hata kujieshimu yeye binafsi..
Nahata ukimsamehe itakua nimsamaha wa muda2 pale2 kama mtakua mnaishi palepale kwnye 2kio laudhinifu..
Pole sana brother...
 
Yaaaaaan ukimsamehe utachekwa mpaka na sisimizi..!!! Rahaa ya maisha ni furahaaa.. Kama rafiki yako kala ukimsamehe tuu yoyote atakae kuwa mgeni nyumbani kwako atakula tuuu... Achana nae kabisaaa... Maana kesho yake unaweza kumfumania na baba yako mzazi.. Mim binafsi nina mke ikitokea nikajua haina kuomba ushauli hiyo... Wanawake wenyewe wa exzemption ya nin tabu...!!
 
ndugu wakigombana chukua jembe ukalime sio kushededea
 
Hapa watu watakushaur meng sanaaahhhm.But wew ndo unajua maisha yako umetoka wap na huyo mkeo..Na pia kuna mambo unamkosea wew sema tu hujaweza kuyawek waz hapa..Lakin kam upo fine kwa kila kitu kwake then akafanya hivyo kwa kwel kakosea sana..Wew kaa chin maamuz ni yako mwenyew ingawa kusalitiwa kunauma sana.
Nakushaur msamehe mkeo coz hamna utakayempata mkamilifu zaid utahangaika tu..Naamin kwa kosa hilo hawez kurudia tena..

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Pole sana kaka! Ebwana angalia ulipokosea mwanzo! Mke mwema au mume mwema hutoka kwa bwana, piga goti kaka muombe mungu na utampata aliye wako, huyo siyo wako
 
Endapo kwa wakati wote wa ndoa hukuwahi kudokoa sehemu ingine yeyote na hadi leo huja onja mahali pengine popote una haki ya kufanya maamuzi mazito

ila jichunguze huenda wewe ni chanzo, (malove-davie yamepungua, outing, mlo wa asubuhi/mchana/jioni na usiku) miaahadi mingi bila hata kukamilisha chembe,

badilishananeni na huyo rafikio we mchukue wake na yeye wako (mtandao utaongezeka )
 
Nilikuwa na mke akapatwa na ugonjwa lakn nikafanikiwa kumuuguza na akapona ila akaniambia hana ham ya tendo la ndo lakn baada ya wiki nikasafir kikaz kumbe mke wangu anauhusiano na rafki yang niliporud akaniambia bado hana ham kabisa nikawa namwacha lakn sk1 nilikuwa kazn usk nikapgiwa sim na mtu nisie mjua akanambia nenda nyumban kwako kajionee uchafu wa mke nikaenda na nikawafumania kweli iliniuma sana skuwafanya lolote badala yake nikamwamuru aondoke kwang si mke wang tena baada ya miez mitano akaja kwa mama yangu kumwomba amwombee msamaha ili turudiane nae mama ananiambia nimsamehe , lakn moyo wangu hautaki hata kumwona. Naomben ushaur wenu
Wewe ndo unaejua unachofeel kwahio kama unaona huwezi kumsamehe usijipotezee muda wako!REMEMBER IF YOU CHEAT ONCE YOU WILL ALWAYS CHEAT!huyo mkeo katili sana japo simjui wanaume walojaa tele akatembee na rafiki yako to be honest she dosent deserve you!
je mna watoto?
 
Hakuna madhabahu mbaya kama ya uasherati. Huyo hafai kaka na pia mpe talaka yake kwani inaruhusiwa
 
Back
Top Bottom