Recent content by Godfrey Sway

  1. Godfrey Sway

    Je Unapata Changamoto Kupata Miche Bora Ya Matunda Muda Mfupi??

    Msimu wa Kupanda Miche ya Matunda Umefika! Farm Side Company Ltd, tunakuletea miche bora ya matunda kwa muda mfupi! Tunatoa: ✅ Embe (Tommy Artikin, Kent, Red Indian, Apple Mango, Dodo, Alphonso, Boribo Keith, na Palma) ✅ Parachichi ✅ Chungwa, Ndimu, Limao, na Chenza ✅ Papai, Komamanga, Pasheni...
  2. Godfrey Sway

    Msimu Wa Kupanda Miche Ya Matunda Umefika Sasa.

    Msimu wa Kupanda Miche ya Matunda Umefika! Farm Side Company Ltd, tunakuletea miche bora ya matunda kwa muda mfupi! Tunatoa: ✅ Embe (Tommy Artikin, Kent, Red Indian, Apple Mango, Dodo, Alphonso, Boribo Keith, na Palma) ✅ Parachichi ✅ Chungwa, Ndimu, Limao, na Chenza ✅ Papai, Komamanga, Pasheni...
  3. Godfrey Sway

    Wauzaji wa vifaa vya umwagiliaji

    Vitu vyote unavyotakiwa kufahamu kuhusu vifaa vya umwagiliaji wa matone. 1. Drip Tape. Hakikisha inakuwa na vipimo hivi, unene 0.4mm, mzunguko 16mm, umbali Kati ya tundu na tundu inaweza kuwa 30cm, 20cm au 60cm kulingana na Aina ya mazao. Urefu kwa roller unaweza Mita 1000, au 500m. 2...
  4. Godfrey Sway

    Wauzaji wa vifaa vya umwagiliaji

    Usiogope Kuhusu Gharama Wala Ukubwa Wa Shamba. Farmside Company Tupo Kwaajili yako. Baada ya kukamilisha kufunga mfumo wa drip, mapema mteja amepanda Miche ya Mboga Mboga Aina tofauti tofauti kwenye hizi plot 3, kila plot ina uwezo wa kubeba na Miche 1600-1650. Baada ya week 3 Mkulima ataanza...
  5. Godfrey Sway

    Fahamu zaidi kuhusu aina za Embe na tofauti zake

    Fahamu Sifa Zinazopelekea Aina Hizi Za Embe Kuwa Bora Zaidi ya Nyingine Sokoni. Kwa Kawaida Tunda La Embe linapendwa takribani na watu wote kwasababu ya ladha yake ya sukari/ Tamu. Kwenye Biashara Aina hizi za Embe zimeshika Kasi sana Sokoni. 1. Kent Mango. Hii ni aina ya Embe Kubwa sana...
  6. Godfrey Sway

    Usinunue Kama Huna Shamba Au Kiwanja

    [emoji3][emoji3][emoji3]
  7. Godfrey Sway

    Usinunue Kama Huna Shamba Au Kiwanja

    Arusha Unatumiwa kwenye bus za BM unaenda kupokelea ofisini kwao
  8. Godfrey Sway

    Fahamu kuhusu soko la bidhaa yako

    Hapa Ndio Sehemu Pekee Ambapo Unapaswa Kupitia Kabla Hujaanza Kilimo Au Uzalishaji. Kwa Wakulima wa mazao pamoja na wafugaji unapaswa kufahamu kile unachotaka kuzalisha kwaajili ya biashara Yako utakiuza wapi? Jibu ni moja tu. SOKONI. Ili kupata taswira halisi na uelekeo wa mazao unayozalisha...
  9. Godfrey Sway

    Hizi hapa aina za Embe na Sifa zake

    Kwa Dar Unatumiwa kwenye Bus za Abood au BM. na vitu vya kupokelea ni Mbezi au Shekilango unachagua wapi rahisi kwako
  10. Godfrey Sway

    Hizi hapa aina za Embe na Sifa zake

    Zipo aina za Embe zinaitwa Boribo
  11. Godfrey Sway

    Usinunue Kama Huna Shamba Au Kiwanja

    Utapata Miche ya Matunda ya Muda Mfupi kwa Bei Ile Ile Ya Tsh 2500 Tu. Hii ndio Aina ya Miche Inayopatikana Kwenye Bustani Yetu Iliyopo Hapa SUA Morogoro. 1. Embe Aina 7 2. Parachichi Aina 3 3. Papai Aina 2 4. chungwa 5. Chenza 6. Limao 7. Ndimu 8. pasheni 9. Pera 10. Stafeli 11. Tope tope 12...
  12. Godfrey Sway

    Nauza Migomba ya Tissue Culture

    Migomba Aina ya malindi, Mshare, Bukoba, mzuzu na kisukari utaipata kwa Bei nzuri kabisa. Tupigie Leo 0752799673/0746850361
  13. Godfrey Sway

    Hizi hapa aina za Embe na Sifa zake

    Ni vizuri kupanda mita 3 kutoka usawa wa ukuta
  14. Godfrey Sway

    Hizi Hapa Mbinu Za Kutengeneza Shamba La Mfano

    Zingatia Mambo Haya Ili Kuhakikisha Unakuwa Na Shamba Lenye Miti Yenye Afya Na Mavuno Mengi. Kwa Wakulima wa Matunda Wa Muda Mrefu na wapya watakuwa mashahidi kuwa ili Shamba liwe na Mavuno Bora na Mengi Zaidi Lazima haya Yafanyike. 1. Usafi wa Shamba. Hakikisha Shamba lako ni safi Muda Wote...
Back
Top Bottom