Recent content by Godfrey Ntibakula

  1. G

    JamiiForums Tanzania Hivi CHADEMA kuna Demokrasia kweli? kama hakuna hata Mabadiliko ya Mwenyekiti!!!

    Kila chama kina utaratibu wake kuna sababu gani ya kufanya mabadiliko wakt MWENYEKITI chadema anafaa wana chama wana imani nae km ni hoja kuwa Chadema hakuna demokrasia mbona hamhoji Mh.Shy rose Bhanji kuenguliwa ndani ya ccm bila kumhoji asiendee kutetea nafasi yake ya ubunge ktk bunge la...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Hivi CHADEMA kuna Demokrasia kweli? kama hakuna hata Mabadiliko ya Mwenyekiti!!!

    Anaewaza mabadiliko Chadema ya MWENYEKITI swali unataka kugombea? Gombea tu lakini usilazimishe kile unachokitaka wewe! Km nafasi hiyo mh.Mbowe anafaa kuna sababu gani ya mabadiliko unaweza Demokrasia mbona ndani ya ccm hauzungumzii Demokrasia shy rose bhanji anahoji kuenguliea bila kuhojiwa...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

    Nini maana ya Demokrasia? Anaonew tu!
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kuzuia mchanga wa dhahabu, Magufuli anastahili pongezi. Tusiishie kwenye madini tu, na gesi je?

    Magufuli kuzuia mchanga wa DHAHABU sio swala la kupongeza bila kuangalia madhara yake madhara yake ni kushitakiwa Serikali na kuingiza hasara ya kulipa fidia kwa kodi zetu wtz hivi Serikali inalipwa mrahaba kwnn mwekezaji akitaka kupeleka kwake umzuie? Wanapotoa DHAHABU %20 hadi25 DHAHABU...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ashinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata 88% ya kura

    LISU LISU LISU LISU LISU LISU.mwanzo mwisho!
  6. G

    JamiiForums Tanzania Polepole usidanganye umma kuwa CCM haijawahi kuchukua mali za umma na kujimilikisha

    Huyo akili zake ni zapolepole! Kila kitu kiko wazi Mali nyingi za umma ccm ilishajimilikisha! Aache udwanzi!
  7. G

    JamiiForums Tanzania Sophia Simba ataendelea kuwa mbunge kupitia mahakama. Ya Bashe na vitisho vya kuhoji

    Bora makapi kuliko chuma chakavu Matakataka (CCM)
  8. G

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio "kijana" wa Dr Mwakyembe,aliyemsaidia 99% katika vita ya madawa ya kulevya

    Dr mwakyembe hana kifua cha kutunza siri kumbuka alivyomtumia Dr slaa kwa kumuandalia documents za kubumba mbaya zaidi aliingia nae ktk hotel aliyofanyia mazungumzo na wandishi wa habari Dr slaa wakipitia mlango wa uani wote mwaky na slaa kisha Dada alieona wakt mwaky akimkabidhi documents hizo...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji; Mmoja wa Watu Walioficha Fedha Uswisi

    Mh.Manji Hajaficha Bali amehifadhi maana fedha zake ni halali huenda Haya yanayompata ni MATOKEO ya taarifa hizo ni visasi tu lakini ikumbukwe kuwa kila mtz anahaki ya kuhakikisha usalama wa Mali yake kuna tatizo gani kuweka pesa zako sehemu ambayo ni salama tena pesa hiyo inakuwa na benefit.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amjibu Magufuli juu ya yeye kugombea TLS

    LISU safi sana.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Maajabu! JANET ni Jina la mke wa Magufuli, Kagame na Museveni

    Kujengewa viwanda ni ndoto ila nimegundua kuwa nyuma kuna kitu Majina ya wake zao yaanzie na JJJ? Why!
  12. G

    JamiiForums Tanzania Zitto: Manji anakomolewa, sasa anyang'anywa hisa zake za Tigo na Serikali

    Yaani wewe unaongea tu bila kuwa na utafiti wa aina yoyote unampinga ZITTO kwa sababu ya kiitikadi acha kuwa mtumwa wa fikra onyesha uzalendo ZITTO kaongelea mambo yenye tija kwa Taifa ambayo serikali imeyapuuza na kuona hayafai lakini yamesababisha upotevu wa pesa nyingi sana,serikali kimya...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

    Kwani nani hajui kuwa Viongozi wetu wengi na wanaccm wanavyeti vya kuchakachua hata Mbunge wa NZG vjjn Kigwangalla sio majina yake yeye anaitwa Hamisi.NASSORO.Bagaire.hayo majina mengine ya Andrew.Hamisi Kigwangalla anajua yeye alikoyayoa! Sio ajabu Akina makonda nao wakawa ktk mfumo...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Zitto: Kuna amri inatoka juu kuwakataza Mkuu wa Mkoa na Wilaya kukaidi kuja Bungeni kuhojiwa

    Tafakari maovu yalitekelezwa yakihusisha Mali zetu wtz ni mengi sana unadhani ni kitu gani kifanyike? Ccm haiko tayari kukomesha ufisadi kw7b hauwezi komesha ufisadi pasipo mabadiliko ya sheria na katiba mpya ndio ccm haitaki kusikia kabisa Viongozi wamewekewa kinga za kuwafanya Miungu watu...
Back
Top Bottom