Recent content by Godfrey Kimi

  1. G

    JamiiForums Tanzania Katiba Inayopendekezwa inanifukuza CCM

    Kweli umeamua karibu kwetu mheshimiwa
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kamanda Joseph Haule Akihamasisha Wanachi Kushiriki Katika Chaguzi za Serikali za Mitaa

    Huyu lazaliwa mikumi kwani akigombea ubunge kuna shida gani
  3. G

    JamiiForums Tanzania BBC Dira ya Dunia: Mh. Mizengo Pinda akiri kugombea Urais kimya kimya

    Urais ampe nani mzee wakulialia hawezi kutuongoza uwazir mkuu umemshinda,urai ndio atauweza aende zake kule.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye ni mwanasiasa wa hovyo kwelikweli!

    Lile ni kanjanja jianaume la hovyo kabisa
  5. G

    JamiiForums Tanzania UKAWA kutiliana saini makubaliano ya Muungano wao Octoba 26

    Toa unafiki hapa kwann wasikubali cdm inawakera sana eeh
  6. G

    JamiiForums Tanzania Tarehe 14/10/2014 tunamkumbuka Nyerere kwa lipi?

    Lilikuwa ni lipi kama sio tanganyika?mbona hueleweki.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete: Katiba inayopendekezwa ni bora sana, haijawahi kutokea

    Asitueleze ngonjera zake kumbe yeye na sita lao moja sijawahi kuona rais asiye na msimamo kama huyu jk.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Donors now confirm withhold of Sh. 1tr Aid over the IPTL Scandal

    Watakoma na wizi wao kila cku wanatafuna pesa na serikali kimya sasa kikwete atafute pesa yakufidia hapo kwenye budget maana wamezoe,pesa sio ya umma ni ya wenyewe wawekezaji
  9. G

    JamiiForums Tanzania Waziri akataa picha ya pamoja na waalimu

    Kwanza uongoz wenyewe kapendelewa nyambafu kweli huyu picha tu anaringa?
  10. G

    JamiiForums Tanzania Madaraka Nyerere: Kuondoa vifungu vinavyo wabana viongozi kwenye katiba mpya sio kumuenzi Nyerere

    Umemuelewa lakn?mtoto wa mchonga au na ww unakurupuka inamaana watz wamuenzi kwa matendo uadilifu na uwajibikaji kwa maisha yao yote ndicho alichomaanisha
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kingunge Ngombale Mwilu Kamanda wa Vijana CCM Taifa ???

    Kamanda wa vijana du ngoja tuone
  12. G

    JamiiForums Tanzania Maofisa polisi 120 watimuliwa CCP

    Mwema nae elimu ni finyu
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kikwete kwenda Mwanza kuzindua barabara ya Usagara - Kisesa

    Hivi nchi za wenzetu uchumi unapoyumba unaona jinsi marais wanavyokuwa busy na wachumi wao?kuangalia ni jinsi gani yakunusuru hiyo hali?
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kikwete kwenda Mwanza kuzindua barabara ya Usagara - Kisesa

    Kwani waziri magufuli hayupo kitu kidogo rais kuna mambo mengi yakufanya,shilingi inashuka,wanafunz wamekosa mikopo unaleta siasa hapa.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Tangazo tangazo kwa wachaga wote@imebaki miezi 3 kujisajili upya

    Haya tumesikia ila tukikutana bar hakuna offer ya kibo wa chui
Back
Top Bottom