Sasa kama hapa karibu tu pamemshinda atawezaje uko vijijini ndani ndani.
Miaka zaidi ya 65 lakini bado mikoa mikubwa kama Dar kweli tunaangaika na maji??
Hatukulipa tena. Walitoa ahadi kuwa wangewasha mwezi wa 10, baadae wakasema wa 11. Wakaja wakasema January.
Cha kushangaza kila mwezi wanatuma Control number na na baadae wanakupigia simu kukumbusha kulipa. Ukiwaelezea huduma hakuna wanatuletea mafundi wao ambao ndio hao wanaotoa ahadi hewa
Nakubaliana na wewe kabisa. Tatizo ni ufuatiliaji wao. Haiwezekani watumie nguvu na pesa nyingi kuja kufunga miundombinu yao alafu wakwame kwenye sehemu moja tu ya kuwasha ili tupate huduma.
Yaani kama vile wewe ujue kabisa kuwa huduma yako inaishia Manzense alafu wewe uendelee kuwafungia watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.