Recent content by godax graphics

  1. G

    JamiiForums Tanzania Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

    Mbona hakuna Zakaria air bus Bunda bus Masaba coach
  2. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta software inayoweza kuconvert picha

    Habari za mda wanajanvi Natafuta soft inayoweza kushusha ukubwa wa picha hadi kufikia 4kb.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere amponda Erick Omondi, adai watanzania wanaomkubali ni wajinga

    Namfatilia sana omondi Ukweli kwa tanzanzania comedians hakuna anayefika kwa jamaa hasa kwa live perfomance. Ukiacha erick,kuna jamaa wa ug anaitwa pablo, kenya kuna jamaa anaitwa chepukeezy na mwingine ni pastor man kush anaitwa pastor kulya ni noma. Ushauri wangu hawa jamaa wakae chini...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Whatsapp status za kijanja

    Born to shine
Back
Top Bottom