Steve Nyerere amponda Erick Omondi, adai watanzania wanaomkubali ni wajinga

Mimi nataka kucheka, kama ww mbunifu na bado siwezi kucheka, hauna maana yoyote. Mm nikicheka nikafurahi i don't care umekopy au umebuni.

Acha wivu wa kijinsia
 
Steve hawezi fika hata 1/10 ya joti km joti atasimama jukwaani, sema tu naye mambo ya kike yamezidi mpska yatakuwa tabia asipojishtukia
 
Dalali wa nyapu za bongomovie dadaz bwana au mapedeshee wameisha mjini mzee kabanaa we steve kaa kimya we kwa kipi cha kujifananisha na omond
 
Hehe huyu jamaa hata nilikua simjui, anaongea nini.
Anasema mchekeshaji ni anayeongea, hajawahi ona stand up comedy za Omondi nini?
Yule jamaa ana ongea unaweza cheka saa nzima hadi tumbo likauma, huyu homo sapien anasikika labda shinyanga vijijini.
Homo what??
 
Kwanza Eric anajulikana Afrika nzima sasa huyu pimbi hata ukimgugo kama mtandao unazingua watasema utaftaji wako haulingani na maelezo yako
 
Namfatilia sana omondi
Ukweli kwa tanzanzania comedians hakuna anayefika kwa jamaa hasa kwa live perfomance.
Ukiacha erick,kuna jamaa wa ug anaitwa pablo, kenya kuna jamaa anaitwa chepukeezy na mwingine ni pastor man kush anaitwa pastor kulya ni noma.
Ushauri wangu hawa jamaa wakae chini wajifunze kwa wenzetu comedy zao hazina ubabaishaji hata ukilipa kiingilio unaondoka umelizika.
 
Steve hana lolote anatala kiki maana sasa hivi ni choka mbaya hana kitu kule upande wa pili alikuwa anapata kidogo sasa baba jesca amebana matumizi mbaya hakuna hela ya kujipendekeza masikini mpaka huruma steve eti anaweza kujifananisha na Eric omondi kweli ? Mbona yeye anaiga sauti tu hata na hivyo hawezi tena maana kuna vijana wengi wamempiku wanavipaji kibao .
 
Back
Top Bottom