Recent content by God is Dead

  1. God is Dead

    JamiiForums Tanzania Je Yesu alitembea juu ya maji?

    Human animal is sick, I am no longer driven by mob anymore, I create mob, Carl Jung ni mkosoaji wa Sigmund Freud na pia ni Nietzschean, na huyo shoga pia ni Nietzschean, na mawazo yake mengi pia ni copy and paste ya ideas za Nietzsche Watu pekee ambao ninaweza nikapoteza muda wangu kwasasa...
  2. God is Dead

    JamiiForums Tanzania Je Yesu alitembea juu ya maji?

    Never use logic in faith
  3. God is Dead

    JamiiForums Tanzania Je Yesu alitembea juu ya maji?

    Wewe ni atheist kijana, unachanganya reason na faith, and to you reason makes sense while faith seems nonsense, Huwezi kunielewa, and you miss a lot of subjects, focus on philosophy, theology, philology and literature, plus history kama bonus, kidogo tutaelewana.. Mwili una sifa ya kutoa...
  4. God is Dead

    JamiiForums Tanzania Je Yesu alitembea juu ya maji?

    Mwili ukitenda ubaya unajihisi wenye hatia na moyo huchukua jukumu la kuadhibu mwili Na ikatokea mwili ukatenda wema basi na moyo utaupa mwili amani, na furaha Hivyo ndivyo wachungaji walivyoamua kutenganisha mbingu na ardhi, Jf kungekuwa na space inayoruhusu mazungumzo ningehakikisha hili...
  5. God is Dead

    JamiiForums Tanzania Je Yesu alitembea juu ya maji?

    Reason kills faith amigo. Faith was invented before reason, Imani ni mtoto wa Mungu na sababu ni mtoto wa sayansi, hivyo hawawezi kuendana sura na tabia.
  6. God is Dead

    JamiiForums Tanzania Je Yesu alitembea juu ya maji?

    Looh salaleee, kumbe mbinguni, ni hali ya moyo wangu, Dunia simama nishuke, moyo ukiteseka na maumivu ni kuzimu tosha, lakini moyo ukitulia na kuwa na amani pamoja na furaha ni peponi tosha, Heaven is the state of heart.
  7. God is Dead

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na Maria Sarungi wapelekwe ICC

    ICC are failed morons, nyie subirini, vijana wapate silaha,
  8. God is Dead

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mange Kimambi na Maria Sarungi mpo serious kweli?

    Attacking activists outside Tanzania for not joining demonstrations is a failed CCM propaganda, Sikilizeni mawazo ya watu ili muweze kutatua mahitaji yao, Hawa watu kwasasa ni vichaa, muda wowote wanakiamsha na hawataogopa chochote, watakachokuwa wakizingatia ni kuwa bora zaidi ya walivyokuja...
  9. God is Dead

    JamiiForums Tanzania Black supremacy

    Maadui zetu ni CCM au ni hawa wahindi na waarabu, wenye uraia wa Tanzania? Kama kazi ya Rais ni kuunda sera kwaajili ya kuleta maendeleo kwenye nchi. Mbona ndani ya Tanzania sera zinazoundwa huwa zinawanufaisha hawa kupe zaidi ya kumnudaisha mtu mweusi. Ni hawa kupe ndio wanaolinyonya na...
  10. God is Dead

    JamiiForums Tanzania Maana ya Jina la Kichaga 'Monoruwa' – Msaada Tafadhali!"**

    Ruwa-Mungu Muni- mwenyewe
  11. God is Dead

    JamiiForums Tanzania Hivi yupi ni shangazi kati ya dada yake baba au mke wa mjomba

    Mke wa mjomba- Mkaza mjomba, Dada wa baba- shangazi
  12. God is Dead

    JamiiForums Tanzania Kwa kulinda “legacy” ya baba yako na heshima ya familia, Jesca Magufuli jifikirie upya kuhusu kujihusisha na CCM

    Maguful legacy, hold my beer, human animal is unpredictable and a joke, Bila Magufuli kujibagaza na siasa za fascism na nationalism, Tanzania ingebaki kuwa nchi yenye amani na utulivu, Anachokifanya Samia, ni kuendelea na ule mfumo wa Magufull, kwakuwa ndio mfumo ulioonekana kufanya kazi na...
  13. God is Dead

    JamiiForums Tanzania GE2025 Muliro na Mafwele walivyorekodiwa wakiongea na askari kuhusu maandamano. Wakiri kukamata watu, wawatishia kifo

    Wakati ukifika Wala hatutalazimishana, badala ya kununua gari watu watachagua kununua bunduki, Badala ya kuishi kwa kupeana sifa, watu watachagua kuishi kwa kuogopana na kuheshimiana, Mdogo atamheshimu mkubwa na mkubwa atamheshimu mdogo,
  14. God is Dead

    JamiiForums Tanzania Swali la Ugomvi: Kwani Wenzetu Hawa Walisomea Nini? - Part 1

    Najikuna nywele, I feel nervous
  15. God is Dead

    JamiiForums Tanzania Propaganda za Kisiasa Tanzania: Vita vya Akili Ambavyo Wananchi Wamekuwa Uwanja wa Mapambano

    All propaganda must be popular and it's intellectual level must be adjusted to the most limited intelligence among those it is addressed to. Consequently the greater the mass it is intended to reach the lower it's purely intellectual level will have to be. But if as in propaganda for sticking...
Back
Top Bottom