Recent content by GOBOLE_LA_TIPTIP

  1. G

    JamiiForums Tanzania Nashauri makamu mwenyekiti CHADEMA apumzike tu siasa, yanini kujilazimisha na haiwezekani kamanda?

    wacha tuchague wenyewe.. kwani wew ni nani hadi utuchagulie... out of 100% .. 80% yote anaongelea yeye kutaka kuuwawa... 20% ndo unaona anatema cheche za kuwanufaisha wadanganyika... tutachagua kiongozi kwa huruma yetu kwake na sio sera zake.. 😁😁😁😁😁😁
  2. G

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

    unaamini kua waliofanya hivyo nao ni wepesi..?
  3. G

    JamiiForums Tanzania Wale wenye BSc, BA na degree nyinginezo mnaendeleaje na hali? Matarajio yenu yametimia baada ya kutunukiwa degree hizo?

    Na waganga wanasema hao Ndo wanaongoza kwenda kwao kusaka vumba.. grade 7 na la pili B. Uliza waganga watakupa Takwimu kati ya wenye shule na la pili B kundi gani wanaongoza kufata mafanikio huko…
  4. G

    JamiiForums Tanzania Nina diploma ya Civil Engineering natafuta kazi

    Hatutafuti kazi hivyo dogo,, ww umepiga Civil Engineering.. ambia watu nna project ideas kadha wa kadha .. au nshawahi brainstorm kuhusu design flan ya jambo fln na michoro unayo… CAD technician hujawahi hata siku brainstorm ur own design… unayoweza showcase kwa watu .. afu mwisho wa siku hapo...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania ukisoma hadi chuo ni kama laana mtaani

    Shauri watu,, wasisome kupata kazi.. wa some kupata fani (Ujuzi), duniani kote shule inakuba basics za jinsi ya kutengeneza motor na sio ujuzi wa jinsi ya kutengeneza motor,, Ukishajua basics kazi ni kwako unaenda kutumia vip huo ujuzi.. Usidanganyike na oh mimi nna passion ya philosophy afu...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Unaweza ukawa na PhD ya Bongo na Performance yako ikawa sawa au Chini ya Mtu Mwenye Degree Moja

    Ni vyema umeanza na mie,, ingawa hoja za mie yako hazina Uzito ,, umedhihirisha tu umuhimu wa elimu.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mtu kama huyu unamsaidiaje?

    Mzee ukimwambia yeye straight itakua shida Kama anafanya vitu kwa kukamatwa kwa Ndumba.. hatakuskiliza… Nnavyoona mimi .. Tafuta ndugu zake. Kisha mseti mtu akawaambie either face to face au kwa simu tu .. ili ndugu Ndo waanze kumsaidia.. sio ndugu wakamwambie muhusika.. hawatomsaidia atawaona...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nchi inaharibika kwa Kasi sana. Umeshawahi kumuona wapi mtoto wa kigogo anafikiria kusoma VETA?

    Mkuu,, issue ni kwamba serikali inakuwezesha kumaliza mfano degree,, issue za kujiongeza unataka ufanyiwe pia.. sahau
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nchi inaharibika kwa Kasi sana. Umeshawahi kumuona wapi mtoto wa kigogo anafikiria kusoma VETA?

    UOVU wake ni upi hapo , vigogo kuandaa vijana wao vzuri katika soko la ajira au?
  10. G

    JamiiForums Tanzania Nchi inaharibika kwa Kasi sana. Umeshawahi kumuona wapi mtoto wa kigogo anafikiria kusoma VETA?

    Na sikuizi ubavu wanao, unakuta form 4 kapiga div 1 kali,, form 6 ana div 1 yake kali,, chuo GPA yake ni between 3.5-5.0. Akitaka kuomba kazi anaambiwa subiri unawahi wapi,, Anaanza kutafuta professional certificates,, mara CPA, Na vicourse mshenzi vyote vile unavyovionaga as added advantage...
Back
Top Bottom