Recent content by gmozee

  1. G

    Kilimo cha Mahindi: Jinsi gani ya kucheza na misimu market wise

    Mahindi yanamtihani mno ghalama kuyatunza kwanza ukitaka solo LA uhakika unatakiwa uyatunze dawa kila baada ya siku 90 mwezi wa 12 ndio uanze kuuza Sent using Jamii Forums mobile app
  2. G

    MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    Palizi ya Mpunga ma Palizi ya Mpunga nzuri ni mala mbili Sent using Jamii Forums mobile app
  3. G

    MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    Katavi kilimo cha msimu kuanzia mwezi 6 kukodi mashamba ya kulima mwezi wa 11 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. G

    Kilimo cha mpunga dakawa

    Kaka HV hapo Bagamoyo wanalima mala ngap kwa msimu? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. G

    Kilimo cha mahindi mkoa wa Katavi

    Kukodi erfu 50 gunia 15 kwa hekari katavi Sent using Jamii Forums mobile app
  6. G

    MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    Katavi,maji ya moto kukodi lak2 kulima na kupanda kama lak6 jumla.gunia 25,35 Sent using Jamii Forums mobile app
  7. G

    Dalili za mlipuko wa nzige mkoa wa Kilimanjaro

    Na kuwala hiyo ni mboga Sent using Jamii Forums mobile app
  8. G

    Sio siri tukio la Moshi limenisikitisha

    Asante Sent using Jamii Forums mobile app
  9. G

    Sio siri tukio la Moshi limenisikitisha

    Jamani Watanzania tuwe makini akili ya kuambiwa changanya na yako, shida kamwe hazitaisha tumezaliwa tumezikuta na tutakufa tutaziacha. RIP! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom