Recent content by gMe7

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

    Hakuna kitu hapo. Hofu ni ishara ya kiongozi dhaifu sisi sio dhaifu. Kwani wao WALITUUMBA?... Wasiposupport wao Hatutakufa... tukula na kunywa mazao tunayo.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

    Kwani nchi nyingine wametolea maelezo... kama wanazihitaji tutawarejeshea taratibu
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kuwaita wafadhili wetu “mabeberu”, kabla hatujaweza kujitegemea, ni ushamba unaoweza kuliangamiza Taifa tusipokuwa makini!

    Sawa toa msaada ila USITUNYANYASE ... Maana hata sisi tuna mioyo.. BLM ...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

    MSITUTISHE SISI TUTAFANIKIWA ZAIDI NA ZAIDI. just watch.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania kutokuwa na Corona katika taarifa za dunia kumewachengua wazungu

    Hivi UNAUMWA KISHA UNAPIMA ?? AU UNAPIMA KISHA UNAUMWA? Nijibu kidha ndio nitajua Je una akili au unaigiliza akili. ... Unakula baada ya kupanda njaa. Au unapata njaa baada ya kula.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kuwaita wafadhili wetu “mabeberu”, kabla hatujaweza kujitegemea, ni ushamba unaoweza kuliangamiza Taifa tusipokuwa makini!

    Wazungu sio mabeberu ila WALE wanaotaka kuinyonya NCHI ndio mabeberu ila wale ambao wanakuja kuwekeza nchini na kufuata taratibu za kunufaisha nchi bila kuinyonya hao ni MABEBERU TU.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kati ya CHADEMA, Marekani, Ujerumani, Ubelgiji, Amnesty International na Kenya dhidi ya Usalama wa Tanzania?

    SIO KWELI MAHOSPITALI, BARABARA, NK VINAWASAIDIA WANANCHI.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini nilikuwa nikiiangalia Sura ya Trump naona 'Fujo' na 'Ukatili' ila nikiiangalia ya Biden naona 'Amani, Furaha na Upendo' tupu?

    Jidanganye... BIDEN IS BAD... see what the world will be... We all gonna be FORCED TO RECEIVE RFID COVID 19 VACCINE. then we get Control. TUnakwenda kuwa watumwa kwa lazima . Kumbuka CORONA ni mpango wa China na Democrat kumuondoa TRIMP Madarakani maana kwa travk record aliyokuwa naye alishaanza...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

    Aende AYAACHE MADINI YETU SALAMA... HAO WAZUNGU WALIOMSINDIKIZA SISI HATUWAOGOPI... SI NDIO WSLITAKA KUIBA MICHANGA YA DHAHABU MAGUFULI AKAXUIA... WanaMPENDA LISU MAANA AMEWAAHIDI KUWAPA MADINI YA WATANZANIA. Kwa kuweka rehani.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Joe Biden akichaguliwa anaweza kusaidia kuleta mageuzi ya kisiasa Tanzania baada ya "uchaguzi"

    Biden atafuta kauli zote za serikali ya Trump... so hawezi fanya lolote kuikandamiza TZ ila ninachoHOFIA anaweza Kuilazimisha TZ kuhusu lockdown na kulazimisha watu kupigwa chanzo yenye RFID chip ila hata hivyo ni kwenye mwaka ujao marekani watafanyiwa MANDATORY VACCINATION this is very terrible.
  11. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inapitia adhabu ya kuacha nguvu ya Umma na kumkumbatia Robert Amsterdam

    Sidhani ila Tubaki wamoja
Back
Top Bottom