Recent content by Gmark

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mwigulu aufukuza uongozi wote machinjio ya Ukonga. Akuta ng'ombe 200 wakichinjwa bila kibali

    Siku hizi hata simu za mashaidi zinaweza kufanya hiyo kazi
  2. G

    JamiiForums Tanzania Alihukumiwa kwa kosa la kuua, baada ya kifungo amemkuta hai akamuua, je atahukumiwa tena?

    Atahukumiwa kwa mauaji, yeye alipaswa kuishitaki mahakama kwa kumfunga kwa kosa asilolifanya. Na afidiwe miaka 23 aliyopotezewa
  3. G

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumuona mchawi kama wewe si mchawi kwa kutumia limao

    Kama uamini Chochote basi hii ni mjadala kwa wanaoamini. Tunakua hatuna point of intersection na wewe
  4. G

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumuona mchawi kama wewe si mchawi kwa kutumia limao

    We utakuwa mchawi namba moja, biblia inasema usimwache mwanamke mchawi aishi
  5. G

    JamiiForums Tanzania Yehova witness kutimuliwa kwa kukataza wanafunzi kuimba wimbo wa taifa!

    Sheria yoyote itakayolala kuiridhisha serikali kwa wema, inaridhiwa na mungu. Bora asiape kwa chochote
  6. G

    JamiiForums Tanzania Yehova witness kutimuliwa kwa kukataza wanafunzi kuimba wimbo wa taifa!

    Alisema kama amuamini mungu tutatafuta namna ya kumwapisha, ambayo itamfunga kwa mungu tena
  7. G

    JamiiForums Tanzania Tazama watoto wanavyochagua wazazi kabla hawajazaliwa

    Imempasa mtu kuishi mara moja na baada ya kifo hukumu
  8. G

    JamiiForums Tanzania Yehova witness kutimuliwa kwa kukataza wanafunzi kuimba wimbo wa taifa!

    Nyerere alisema hatumchagui mtu asiyeamini Mungu. Marekani dollar imeandikwa in God we trust. Kwa hiyo wimbo wa taifa unamtambua Mungu muumba mbingu na nchi. Hao miungu wengine ni shughuli yako mwenyewe
  9. G

    JamiiForums Tanzania Yehova witness kutimuliwa kwa kukataza wanafunzi kuimba wimbo wa taifa!

    Wanataka kuua uzalendo africa
  10. G

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Zanzibar lapiga marufuku kutibiwa majeraha hospitalin bila PF3

    Watengeneze e-government
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ondoa ''misconception'' kuhusu Wanyarwanda

    Hiyo long term yake weka juu longterm agenda yako, unakula raha. Furahia kitu laini ukiwa hai
  12. G

    JamiiForums Tanzania Swali la Ugomvi: Ni Kina Nani Wasiotaka Magufuli Afanikiwe na Kwanini?

    Ni vizuri wamchukie wengine, kwa sababu hata yesu alichukiwa na hata sasa wapo wanaemchukia, ndio maana alisema'ole wenu ninyi ikiwa watu wote watawanena vizuri'
  13. G

    JamiiForums Tanzania Ondoa ''misconception'' kuhusu Wanyarwanda

    Afadhali wewe yaani mimi nilikarimiwa kama mtoto mchanga, naamshwa napewa chupa ya maziwa, maji moto, tabasamu bashasha, hugs , mi siku zote huimisi rwanda. One thing hata ukipata mwanamke huko love her , but be very strong in heart
  14. G

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

    Walioongea kwa utaratibu walitufaa nini? Hotuba zake hazieleweki kwa mafisadi, lakini mi nazienjoy kichizi. Yaani zote tatu zipo kwenye Simu.we kama uelewi ni shughuli yako, labda hamko level moja, Yule ni dkt, lazima upanue akili ili umwelewe. Amesema anasema ukweli, na ninafurahi kuzijua siri...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Ishu ya Polisi kubaka, msichana asimulia (audio)

    Angemng'ata kwa kutumia magego angetoka na kipande
Back
Top Bottom