Robert Kiyosaki ni great writer amespend maisha yake kupractice anacho kijua na kufundisha watu.
Umesoma vitabu vyake viwil unasema unaenda kuwa billionaire
REALLY
Wealth is the mind set is all about what going on in your mind
Kuna vitu vingi sana vya kukonsida kuwa billionaire.
Nakushauri...
Watu wengi mnaongelea mambo ya risk mara inaweza kukupiga mara soko hakuna mambo meeeeeeeeengi
Ambayo yanaweza kumkagisha mtu tamaa
Dunia ya sasa tuko katika information age. Industrial age ilisha pita miaka mingi sana
Kitu anacho kiongelea salaniatz hizo ni fact na unaweza piga zaidi ya iyo...
Maisha sikuzote ni kujua unachokitaka. Ukiwa na uhakika na unachokitaka utatafuta jinsi ya kukipata. Ushauri wa kukupa cha kwenda kusomea utakuwa bla.bla tu kama hauna picha ya unachokitaka kwenye gurudumu lako la maisha.
Ukisha jua unataka kufanya nn au kuwa nani katika kila agle ya maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.