Napenda kumshauri mgombea wa ukawa kwamba katika kipindi hiki cha kampeni anatakiwa awe makini na kauli zake kwani zinaweza kumpotezea wapiga kura wengi kutokana na itikadi zao tofauti.
Kwa mfano kauli yake kuhusu Babu Seya na hivi karibuni kuomba kura kanisani kupitia mwamvuli wa...
Kwanini mnaangalia ubaya tu wa mzee wetu Lowassa?hammjui ana mazuri mengi tu amefanya?inabidi myapime haya na ndio utoe hoja yako.
Lowassa ni kiongozi shupavu na atafaa kuiongoza hii nchi ambayo inahitaji kiongozi jasiri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.