Recent content by GloryM

  1. G

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika M4C Operation Pamoja Daima jijini Arusha

    Mkuu Mungi mpatie pressure
  2. G

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika M4C Operation Pamoja Daima jijini Arusha

    sixgates unataka picha za chadema Arusha? Hahahaa
  3. G

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika M4C Operation Pamoja Daima jijini Arusha

    Tupia picha mkuu wa kazi
  4. G

    JamiiForums Tanzania ITV chezeni fair Game kwa vyama vyote vya siasa!!

    Mkuu Wangu FUSO Jana ITV ilionesha Habari ya Dr. Slaa na Msigwa wakiwa na Nyomi ya Hatari labda ulichelewa habari yenyewe.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Malumbano ya Hoja ITV: Mfumo wa Muungano wa Serekali tatu

    Kuna mchungaji mmoja anatafuta kujikomba serikalini sana; atakuwa anafanya biashara ya mihadarati huyu
  6. G

    JamiiForums Tanzania Malumbano ya Hoja ITV: Mfumo wa Muungano wa Serekali tatu

    Tatizo Pole pole anaongea na wajinga wengi wa ccm wamejaa pale
  7. G

    JamiiForums Tanzania M4C PAMOJA DAIMA ni nini?

    Siyo bora Huduma ni Huduma bora
  8. G

    JamiiForums Tanzania Picha: Mkutano wa CHADEMA kanda ya Magharibi

    Hii hali inawachanganya magamba si kawaida.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA Tanga, Lissu, Heche, Munisi na Golugwa waongoza mashambulizi

    Hahahaaaa Viva Mizigo ndani ya ccm
  10. G

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA Tanga, Lissu, Heche, Munisi na Golugwa waongoza mashambulizi

    Kwanini asizungumzie posho za Kinana na Nape laki 5 kwa siku na mawaziri mizigo wanapeta tu.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Live: Kutoka Mbamba bay mkutano wa Dk. Slaa

    Dr. Slaa anaenda kufuta nyayo za Kinana na Nape na Mizigo yao.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Live: Kutoka Mbamba bay mkutano wa Dk. Slaa

    Dr. Slaa aliwapa muda akina Kinana na Nape watekeleze walichowaahidi wananchi kwenye Ziara yao iliyojikita kwenye kuwaondoa mawaziri mizigo lakini wameshindwa; sasa Dr. Slaa ana kazi moja tu kuwaambia kuwa Ccm haina jipya kwa watanzania ni ile ile Jana Leo na hata milele.. Chadema tumaini...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Live: Kutoka Mbamba bay mkutano wa Dk. Slaa

    Wapi magamba na Operation ondoa Mawaziri Mizigo? Hamhahaaa CCM ndo Mzigo wenyewe haubebeki.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Live: Kutoka Mbamba bay mkutano wa Dk. Slaa

    Watangaze naye Kikwete ni Rais Mzigo hahahahaaa
Back
Top Bottom