ITV chezeni fair Game kwa vyama vyote vya siasa!!

Status
Not open for further replies.

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
36,509
Reaction score
45,126
Wakuu,

Jana nikajihimu mapema ili niwe kwenye kideo changu nyumbani pamoja na familia yangu ili nicheki yanayotendelea katika nchi hii ki siasa, uchumi na kijamii- kulikuwa na habari nyingi za kitaifa lakini hakuna hata habari moja ya CDM iliyopewa coverage - Muda mwingi ulichukuliwa na habari ya Nape juu ya wale mawaziri mizigo lakini kulikuwa hakuna coverage hata ya dk mbili ya mkutano wowote wa CDM.

Tukumbuke kuwa CDM ipo kwenye ziara yake nchi nzima ikiwaelimisha watu kuhusu jambo muhimu kabisa la katiba mpya!! nachojiuliza je ITV haioni hilo ni jambo muhimu?

Katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani humpi hata dk 2 ya coverage kwenye taarifa yako kweli hili limeniuma sana!! mbona habari za CCM mnaweka zaidi ya dakika 5 hadi zingine zinatukera?

Bado tunaamini mtajirekebisha na leo mtatupatia nini viongozi wa CHADEMA wanakisema kwenye mikutano yao. Tupo pamoja.
 
Hivi chadema mna hata shukrani??? Kuna kipindi ITV ilimteua Ufoo Saro kuwa akizunguka na Dr slaa kwenye ziara na akawa ripota kw ajili ya habari za chadema kila siku zikawa zinaripotiwa hamkuinua midomo kusema ITV tunashukuru. Leo habari haijarushwa kwa siku moja mnalia lia na kusema muda mwingi ni habari za Nape, uwongo mtupu habari ya nape hata haikufika dkk mbili.

Chadema jifunzeni ku appreciate, una uhakika chadema wamepokea picha za mikutano inayoendelea wakakataa kuzirusha? Na hata wasiporusha jua haikuwa ya priority sana ukilinganisha na nyingine. Acheni lawama chadema. Kila kitu mnalaumu sio JF, sio star tv, sio claoudsfm sio star tv. Anzisheni vyombo vyenu vya habari wapuuzi nyie
 
Nadhani unatania mkuu. CDM inapata 80% ya coverage ya ITV kwenye habari za vyama vya siasa. 20% ni CCM vyama vingine hawana mpango kabisa wabaguzi hawa!
 
mleta mada nadhan anaongea kinyume kama hamjamwelewa. Itv ndio channel inayorusha mikutano yote ya cdm, kumbuka hata ile ziara ya kigoma ya dr. Silaa itv ndio kituo pekeee kilikuwa kinarusha mikutano, tena itv ilienda mbali zaid ikaanza kuchakachua picture za dr. Kwa kuonyesha waudhurio makuba wakati hali haikua hivyo
 
Mkuu Wangu FUSO Jana ITV ilionesha Habari ya Dr. Slaa na Msigwa wakiwa na Nyomi ya Hatari labda ulichelewa habari yenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Nadhani unatania mkuu. CDM inapata 80% ya coverage ya ITV kwenye habari za vyama vya siasa. 20% ni CCM vyama vingine hawana mpango kabisa wabaguzi hawa!

ITV wanaweza kufanya vyovyote kwa vile ni mali ya mtu binafsi ................... lakini inashangaza TBC inayoendeshwa kwa kodi zetu kutoa 99.9 % kwa CCM na kuwapa wengine 0.1 %.
 
Mkuu FUSO Naomba kuweka sawa rekodi.

Jana ITV wametoa Coverage kubwa kabisa kwa Chadema.Walionyesha Mkutano wa Dr Slaa.

Inawezekana ulipitiwa kidogo mkuu
 
Last edited by a moderator:
Bavicha wana matatizo sana.
Hivi hizo pesa mnazo pata kwenye mikutano pamoja na ruzuku kwanini msifungue media yenu?
Mlifikia hadi kutoa mikopo lakini mnashindwa kufungua media yenu.
 
Mmmh anawatania Huyo ITV tena isirushe habari hizo,unachezea ITV wewe! lkn kama huzipati ITV,check na nipashe,mwananchi,tanzania daima,----- nk,utazichoka mwenyewe mkuu! Au wewe shida yako ni za kuchungulia kwenye kioo tu?
 
Wakuu,

Jana nikajihimu mapema ili niwe kwenye kideo changu nyumbani pamoja na familia yangu ili nicheki yanayotendelea katika nchi hii ki siasa, uchumi na kijamii- kulikuwa na habari nyingi za kitaifa lakini hakuna hata habari moja ya CDM iliyopewa coverage - Muda mwingi ulichukuliwa na habari ya Nape juu ya wale mawaziri mizigo lakini kulikuwa hakuna coverage hata ya dk mbili ya mkutano wowote wa CDM.

Tukumbuke kuwa CDM ipo kwenye ziara yake nchi nzima ikiwaelimisha watu kuhusu jambo muhimu kabisa la katiba mpya!! nachojiuliza je ITV haioni hilo ni jambo muhimu?

Katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani humpi hata dk 2 ya coverage kwenye taarifa yako kweli hili limeniuma sana!! mbona habari za CCM mnaweka zaidi ya dakika 5 hadi zingine zinatukera?

Bado tunaamini mtajirekebisha na leo mtatupatia nini viongozi wa CHADEMA wanakisema kwenye mikutano yao. Tupo pamoja.

wew kwel fuso, jana itv wameonyesha habari ya babu slaa na msigwa iweje useme hawajarusha? Unakua kama yule meya wa bukoba alitangaza kujiuzulu afu juz kati anasema hakutamka hayo maneno
 
Wakuu,

Jana nikajihimu mapema ili niwe kwenye kideo changu nyumbani pamoja na familia yangu ili nicheki yanayotendelea katika nchi hii ki siasa, uchumi na kijamii- kulikuwa na habari nyingi za kitaifa lakini hakuna hata habari moja ya CDM iliyopewa coverage - Muda mwingi ulichukuliwa na habari ya Nape juu ya wale mawaziri mizigo lakini kulikuwa hakuna coverage hata ya dk mbili ya mkutano wowote wa CDM.

Tukumbuke kuwa CDM ipo kwenye ziara yake nchi nzima ikiwaelimisha watu kuhusu jambo muhimu kabisa la katiba mpya!! nachojiuliza je ITV haioni hilo ni jambo muhimu?

Katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani humpi hata dk 2 ya coverage kwenye taarifa yako kweli hili limeniuma sana!! mbona habari za CCM mnaweka zaidi ya dakika 5 hadi zingine zinatukera?

Bado tunaamini mtajirekebisha na leo mtatupatia nini viongozi wa CHADEMA wanakisema kwenye mikutano yao. Tupo pamoja.

hapana sikubaliani na hilo itv wapo fair sana kuliko tv zote ktk kutoahabari za siasa, nadhan gata slaa akikusika kuhusu itv atkubishia. ushaur kwa cdm anzishen station zenu mtapata matangazo mengi sna kwan naamin mna mashabiki wengi kam uyo bwana fuso na wengine
 
jana mbona wamemuonesha dr slaa na msigwa tena wako na devota minja, kama kipindi kile kwenye ziara ya kinana na nape walivyokuwa na silivanusi kigomba, itv wako fair sana bwana ziara zote za ccm na cdm huwa wanakuwa na marepoter kwa ajili ya coverage.
 
Hivi chadema mna hata
shukrani??? Kuna kipindi ITV ilimteua Ufoo Saro kuwa akizunguka na Dr
slaa kwenye ziara na akawa ripota kw ajili ya habari za chadema kila
siku zikawa zinaripotiwa hamkuinua midomo kusema ITV tunashukuru. Leo
habari haijarushwa kwa siku moja mnalia lia na kusema muda mwingi ni
habari za Nape, uwongo mtupu habari ya nape hata haikufika dkk mbili.

Chadema jifunzeni ku appreciate, una uhakika chadema wamepokea picha za
mikutano inayoendelea wakakataa kuzirusha? Na hata wasiporusha jua
haikuwa ya priority sana ukilinganisha na nyingine. Acheni lawama
chadema. Kila kitu mnalaumu sio JF, sio star tv, sio claoudsfm sio star
tv. Anzisheni vyombo vyenu vya habari wapuuzi nyie

kaka kuwa mstaalabu sawa aliyepost hii habali c CDM ni mtu tu kama wewe, katoa maoni yake tu.
 
Hivi chadema mna hata shukrani??? Kuna kipindi ITV ilimteua Ufoo Saro kuwa akizunguka na Dr slaa kwenye ziara na akawa ripota kw ajili ya habari za chadema kila siku zikawa zinaripotiwa hamkuinua midomo kusema ITV tunashukuru. Leo habari haijarushwa kwa siku moja mnalia lia na kusema muda mwingi ni habari za Nape, uwongo mtupu habari ya nape hata haikufika dkk mbili.

Chadema jifunzeni ku appreciate, una uhakika chadema wamepokea picha za mikutano inayoendelea wakakataa kuzirusha? Na hata wasiporusha jua haikuwa ya priority sana ukilinganisha na nyingine. Acheni lawama chadema. Kila kitu mnalaumu sio JF, sio star tv, sio claoudsfm sio star tv. Anzisheni vyombo vyenu vya habari wapuuzi nyie
Ulikuwa na sababu yeyote ya kuandika hivyo(bold)? Kweli mashoga mna akili ya kushikiwa. Umejidhihirisha kuwa hutumii akili katika mijadala bali kuwazia kuwa furahisha mabwana zako. Tena ngoja nikuweke kwenye ignore list, maana umeendekeza sana ushoga.
 
Wakuu,

Jana nikajihimu mapema ili niwe kwenye kideo changu nyumbani pamoja na familia yangu ili nicheki yanayotendelea katika nchi hii ki siasa, uchumi na kijamii- kulikuwa na habari nyingi za kitaifa lakini hakuna hata habari moja ya CDM iliyopewa coverage - Muda mwingi ulichukuliwa na habari ya Nape juu ya wale mawaziri mizigo lakini kulikuwa hakuna coverage hata ya dk mbili ya mkutano wowote wa CDM.

Tukumbuke kuwa CDM ipo kwenye ziara yake nchi nzima ikiwaelimisha watu kuhusu jambo muhimu kabisa la katiba mpya!! nachojiuliza je ITV haioni hilo ni jambo muhimu?

Katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani humpi hata dk 2 ya coverage kwenye taarifa yako kweli hili limeniuma sana!! mbona habari za CCM mnaweka zaidi ya dakika 5 hadi zingine zinatukera?

Bado tunaamini mtajirekebisha na leo mtatupatia nini viongozi wa CHADEMA wanakisema kwenye mikutano yao. Tupo pamoja.

Wewe utakuwa umerogwa au umetumwa. Hivi hujui kama ITV ni chadema damu???!!! au unataka kila siku ya Mungu watangaze habari za Chadema tuu?? Lazima siku moja moja wazugie kidogo na vyama vingine wasije wakaeleweka vibaya. We vipi bwana
 
Mkuu FUSO Naomba kuweka sawa rekodi.

Jana ITV wametoa Coverage kubwa kabisa kwa Chadema.Walionyesha Mkutano wa Dr Slaa.

Inawezekana ulipitiwa kidogo mkuu

Huyu Fuso siju Canter atakuwa alisahau kunywa dawa zake zile, yani Halloperidol
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom