That's true my dia, we so confused,we don't knw what we can do to our men in this digital life,everything change to what you expect.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ushauri wangu,usimwache wala usimpe papuchi,vuta muda msome kwanza,labda kama yeye akiamua kuingia mtini ndo utajua yupo vp na lengo lake
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kama yeye anakataa fanya mpango behind his back mwombe huyo dada mkutane mzungumze kama wanawake akwambie ukweli na wewe umwambie ukweli then utajua nan anadanganywa na nan anaambiwa ukweli
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Take a breath,vumilia mwombe Mwenyezi Mungu akutie nguvu ili uweze kusonga mbele kuwalea watoto wenu na pia umwombee mumeo Mungu atambadilisha na atakua kama mwanzo.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
We komaa tu,maliza chuo chako kwanza,ila uhakikishe unafanyiwa na maendeleo mengine kama kujengewa,kufunguliwa biashara,then through out utapata mumewe then unakaa nae unamweleza ukweli unaanzisha famalia yako,ila whatch out!!!
Ukipata tu mtoto nae tayari utakua nyumba ndogo no way out
Sent...
Mm naona ni sahihi,kwa sababu kama kamaliza chuo na kapata kazi mkoani au hapa hapa mjini na wazazi wake wako mkoa mwingine asipange????
Na je atakaa kwa wazazi wake mpaka lini???na asipopata wa kumuoa je???azekeee kwao ili hali ana uwezo wakujitegemea???
Pia kuna wengine hawana mpango wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.