Mkuu,
Mimi ni plant based kwa miaka takribani 7 sasa.
Mimi situmii aina yoyote ya nyama au product yoyote inayotokana na mnyama. Maana yake situmii maziwa, situmii butter, situmii mayai.
Nakula vyakula vinatoka ardhini pekee.
Kwa maana hiyo mimi ni vegan [emoji271]
Kujibu swali lako...
Wewe mlevi na mbinafsi kaa kimya.
Hakuna kitu unaweza sema kupindisha ukweli huu...
Mwanamke wa kiafrika ndiyo NGUZO ya jamii ambayo wewe jinga unaishi ndani yake.
Wacha uongo.
Mwanamke wa kiafrika ni mkarimu, mvumilivu na mcheshi.
Tena ni mama anayefahamu kutunza familia.
Wanaume wengi wa kiafrika ni walevi na wabinafsi.
Inasikitisha sana.
Na wewe ukija lazima nikutoze pesa.
Mimi sina muda na vitu vya bure.
Kila kitu nachofanya lazima kiwe na faida kwangu.
Unafahamu kwanini lazima unilipe kama unahitaji usaidizi wangu?
Kwasababu natoa VALUE.
Ukiona haikufai au hautafaidika unapita mbali. Rahisi namna hiyo
Una swali lingine?
Wewe bado ni “boy”
Ukiwa unaongea na kaka zako uwe na HESHIMA na HEKIMA
Ungekuwa karibu ningekupatia kibao cha uso halafu ningekupatia $40 upate hata pesa ya holidays maana najua umefulia.
Shenzi kabisa
Mkuu Internet ni gold mine.
Kuna opportunity nyingi kama unafahamu unachofanya.
Jifunze na si kuishia kusema “wabongo ni waongo”
Je, itakuwa rahisi?
Nop, utashindwa mara nyingi zaidi ya utakavyofanikiwa. Kumbuka hilo.
Lakini mwisho wa siku kutengeneza hizi $500 - $1,000 utafahamu ni...
Uelewa wako kwenye haya mambo upo chini sana mkuu. I am sorry.
Hata huelewi jinsi referral program zinavyofanya kazi.
Ushauri wangu.
Usikate tamaa.
Unahitaji kujinoa zaidi.
Ili ufanikiwe sehemu yoyote ile lazima uwe mweledi.
Mkuu ukiona wewe mbinu zako hazifanyi kazi usidhani wote wapo kama wewe.
Kama wewe huna personality nzuri + uwezo wa kushawishi utapata tabu sana kupata kazi kwenye platform hizi za freelance.
Mimi kazi zangu ni zakuwango cha juu na clients wanasema hivyo kwenye reviews.
Mimi nilisajili...
Haelewi sana huyo.
Binafsi baadhi ya miezi natengeneza hadi kufika $1,000.
Lazima uwe wa viwango vya juu ili uwe unapata gigs nyingi.
Kingine....kufanya kazi kama freelancer haimaanishi unategemea kazi katika hizi platform kama UpWork, Fiverr au Freelancer.com pekee.
Kuna mbinu nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.