Recent content by gkrwangobe

  1. G

    Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

    Huyo alipougua ngozi akili yake iliruka kidogo. Mbona hakubwabwaja hayo mapema akajibiwa na tundu lissu?
  2. G

    PICHA: Wananchi wa Musoma Wakijitolea Kuosha Gari la Lowassa

    Mie ninawaambia huyo ni nabii
  3. G

    Picha: Lowassa Kanisani Leo

    Mzee huyo ni mcha mungu kinoma.
  4. G

    Wakati Samia akizomewa Mwanza, Kinana ahutubia Magari Kigoma

    Na bado tar 25 Oct Wenda wakakimbia nchi.
  5. G

    Lowassa mikoa 26, mikutano 104, Magufuli mikoa 20, mikutano 180, Yupi dhaifu?

    Magufuli kapiga mikutano mingi lkn ya matusi mingi zaidi ya lowasa michache lkn makini kwa hoja
  6. G

    Lowassa azomewa na wanachama wa CHADEMA

    Hata wangesema anaua tembo au alichukua pesa za escrow ni lzm tumchague tu lowasa maana hakuna namna tumechoka na ccm
  7. G

    Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

    Lowasa hata mseme aliua mtu lazima tumchague tu yaani hata ccm ingesimama na jiwe lzm tuchague jiwe tumechoka na neno ccm
  8. G

    Matumaini ya mzee Lowassa yageuka kuwa shubili

    Mtoa hoja ubongo wake ni maajabu tupu.
  9. G

    Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Siwezi kupoteza muda wangu kuangalia huyo mjuaji sbb mie ni lofa na mpumbavu km alivodai kapa la mtwara. Lkn huyo silaha siku nimkutana uso kwa uso ndo atajua wote tulisoma seminary huyo mzee akili yake imejaa ujuha mwingi.
  10. G

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Mzee mkapa nilikuwa namheshimu sana lkn leo si mheshimu tena. Sijui amekula maharage ya wapi?
  11. G

    Lowassa: Nitamtoa Babu Seya gerezani

    Kumtoa km rais inawezekana sbb rais amepewa mamlaka ya kusamehe mfungwa wa kosa lolote
  12. G

    Hotuba za Lowassa kama ndio hizi, Kazi ipo

    Ulitakaongee km jk kwa ahadi za uongo sisi tunataka mtendaji basi siyo porojo km mtongoza mwanamke
  13. G

    Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    Linamo umechanganyikiwa nadhani huu mwaka ni tofauti
Back
Top Bottom