Maandamano:
Mapendekezo ya serikali kutaka kuleta sheria ya kuzuia maandamano kutaligharimu taifa kama sio leo ni kesho au kama sio kesho ni keshokutwa. Maandamano ni namna ya watu kuelezea hisia zao zinaweza kuwa furaha au huzuni, mathalani ikiwa ni hisia za huzuni, chuki na hasira...