Recent content by Gislary

  1. Gislary

    JamiiForums Tanzania Nishauri Chochote kati ya haya, nimemaliza chuo

    Sio rahisi ivyo kama unavyofikilia..na Sheria za kubadili visitor visa kua ya kaz zinawabana sna. Unaweza ukajikuta ad mda wa visa yako unaisha bado mambo ni ngumu
  2. Gislary

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijatahiriwa,mwenye ujuzi na mwenye kujua umuhimu wa tohara aniambie!

    😂😂😂
  3. Gislary

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Science in mechatronics engineering

    Apa kwetu bongo haina miaka mingi sana ,nadhani miaka ya 2021 ndo ilianza kwa chuo kama Arusha tech ATC, na DMI (kwa kumbukumbu zangu) japo diploma yake ilianzaga nyuma kidogo na MUST ndo wanatoa. Baada ya apo nmeona udsm Nao wanatoa maana walikua wametangaza nafasi za assistant lecturers kwenye...
  4. Gislary

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    La captain umeongea ukweli mchungu sana,,😀😀
  5. Gislary

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Kuondoka kambini ni mbaka pale utakapo somwa unfit. Nikikumbuka experience ya 2021. So ukiliport pale wanakutem kama mzalendo kwa kipindi chote mnapo subir maelekezo toka kwa wakubwa.
  6. Gislary

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Mwambahana data anabisha,
  7. Gislary

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Bro kama huna ulijualo uliza utaelekezwa, asa form six anakua anaujuz gan?, kunawakat jeshi linahitaji watu wenye ujuz na ndio Maana wanavyofanya ivo. Ukitaka detail za iyo intaak nitakujuza
  8. Gislary

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Hawana formula maalum hawa, nakumbuka 2021 walitaka watu wenye elimu so walipita mavyuoni...walivyoanza piga simu ad wkend walikua wanapiga,, na kunawakat walikua wanatumia hadi simu za kawaida, kwaiyo kama ume apply this time usipuuzie siimu eote kipindi hiki
  9. Gislary

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Na ambaye si mstaafu
  10. Gislary

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Na ambaye si mstaafu😉
  11. Gislary

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uwezekano wa kupata kazi migodini?

    Wapi wanafundisha scoop operator?
Back
Top Bottom