Recent content by gisindika

  1. G

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwanafunzi Kampala International University (KIU) afariki dunia baada ya kushambuliwa na vibaka

    Poleni wanafunzi kwa kuondokewa na mwenzenu RIP Hanifa
  2. G

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Goba -Dar es salaam

    Ni pm
  3. G

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Goba -Dar es salaam

    150 kwa muda gani
  4. G

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Goba -Dar es salaam

    Laki 2 ila anaweza kupunguza sabbu anataka kuondoka
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nisamehe Baba yangu, watoto wengi wanaamini Mama hajawahi kukosea

    Jamii ndio inaamini hivo lakini si vema wamama kujaza sumu kwa watoto wakina baba wanafanya kazi nyingi sana wanabeba mizigo mingi ya familia na hawaonekani kwa kua most of them wanafanya mambo behind the scene anaeonekana anatekeleza kwa watoto ni mama lakini baba zetu wengi hawaongei ila...
  6. G

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Goba -Dar es salaam

    Habari wadau Kuna mdogo angu anapangisha nyumba ya vyumba vitatu vya kulala,sebule kubwa,choo cha public na master, dining na jiko.Nyumba inajitegemea iko peke yake iko goba center karibu na barabara ameshalipa kodi ya miezi sita imebaki miezi mitano amehamishwa kikazi mkoani.Anatafuta mtu wa...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Hiv/AIDS huonekana kwenye full blood PICTURE?

    Kuangalia damu yote kwa ujumla kama kuna infection au lah
  8. G

    JamiiForums Tanzania Natamani kabla sijafa nije kuwa Chizi

    Loooh akili haiko sawa wewe
  9. G

    JamiiForums Tanzania Natamani kabla sijafa nije kuwa Chizi

    Hahahhahahaaa
  10. G

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anaomba ushauri hyo ndio story....Mama angu anataka kunipa radhi kwa ajili ya mume wangu

    Yaan tangu amuoe baada ya ndoa hakuwahi kufika ukweni kabisa hata kusalimia hakuna
  11. G

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anaomba ushauri hyo ndio story....Mama angu anataka kunipa radhi kwa ajili ya mume wangu

    Ndio family yake inamtegemea sana hasa wadogo zake
Back
Top Bottom