Recent content by Gis expert

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    appls gani ya kununua ni nzuri sana kwenye betting?
  2. G

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu afuta posho kwa watumishi wa umma nchini

    Humu ndani mnanifurahisha sana, watu hawajui kwa kuna kitu kinaitwa ikolojia, viumbe hai tunaishi kwa kutegemeana. Waliokuwa na furaha Mtumishi kufutia Posho namsikitikia sana kwasababu hajui implication ya kufutwa posho kwa watumishi, let wait and see.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Faida za upimaji na usajiri wa ardhi/viwanja

    hakuna upimaji unaofanyika bila town plan kwasababu TP ndo muongozo ambao unampatia surveyor njia za kupita wakati wa upimaji, sasa kama TP hamna katika eneo husika basi inabidi wataalamu wa mipango miji waandae mchoro kisha upata approval kutoka wizarani kisha kazi ya kupima ndo ianze.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Faida za upimaji na usajiri wa ardhi/viwanja

    kwa wastani wa kawaida ni viwanja vinne vyenye upana na urefu wa 31.62 kwa 31.62, gharama lazima ibadilike kutegemeana na resources zitakazotumika.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Faida za upimaji na usajiri wa ardhi/viwanja

    Sioni swali lako tafadhali uliza tena.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Faida za upimaji na usajiri wa ardhi/viwanja

    napatikana ENA LAND CONSULT LTD, KINONDONI AU PIGA SIMU 0714238436
  7. G

    JamiiForums Tanzania Faida za upimaji na usajiri wa ardhi/viwanja

    hakuna muda specific ndugu meja but kitu ambacho naweza kusema nikiwa kama mpimaji nitahakikisha utaratibu wote wa kupata haki yako unakamilika kwa wakati.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Faida za upimaji na usajiri wa ardhi/viwanja

    napatikana ENA LAND CONSULT LTD kinondoni au piga simu no. 0714238436
  9. G

    JamiiForums Tanzania Faida za upimaji na usajiri wa ardhi/viwanja

    hapana, nimesema kwa ekari moja tu lakini kama una ekari kumi basi inategemea na idadi ya beacons, umbali, ugumu wa kazi yaani namaanisha kwamba kama shamba lina vichaka na misitu mingi upimaji wake unakuwa mgumu sana na wataratibu mno hivyo haya ni baadhi ya mambo ambayo yanapelekea gharama...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Faida za upimaji na usajiri wa ardhi/viwanja

    kamandakazi amekupatia majibu mazuri sana, ni kweli ni lazima survor aende site ingekuwa hivyo usemavyo basi kulikuwa hakuna haja ya wataalamu kukaa kusoma miaka mine chuo. lakini pia hizi kazi ieleweke kuwa ni kazi za kitaalama sio ujanja ujanja tu.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Faida za upimaji na usajiri wa ardhi/viwanja

    ulishawahi fanya hivyo ukakutana na ugumu?
  12. G

    JamiiForums Tanzania Faida za upimaji na usajiri wa ardhi/viwanja

    hizo ni gharama za upimaji tu kama jinsi nilivyoziainisha hapa juu, hapo hakuna ujanja ujanja hzo ni gharama ambazo nimezifanya kwa kuzingatia vigezo muhimu pamoja na muongozo wa wizara lakini pia kuhusu usafiri kama unao itakuwa bora kwako kwasabababu gharama zinapungua.na kuhusu town plan huwa...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Faida za upimaji na usajiri wa ardhi/viwanja

    nimeweka gharama,tazama.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Faida za upimaji na usajiri wa ardhi/viwanja

    tazama gharama nimeweka.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Faida za upimaji na usajiri wa ardhi/viwanja

    nimeweka information zote muhimu kwa mteja kuzifahamu.
Back
Top Bottom