Recent content by gireseba

  1. G

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Pole sana! Wivu mbaya sana
  2. G

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Naona Zidane kawarest wachezaji muhimu kwa ajili ya Bayern Munich
  3. G

    JamiiForums Tanzania Je, magari ya Shambalai yanayoenda Lushoto Mtae, Ntekelei yameanza safari zake?

    Wadau, Kuna anayejua kama mabasi yanayofanya safari za kutoka Dar kwenda Lushoto Mtae, Ntekelei kama yameanza safari anijulishe, kwa kuwa mvua zinazoendelea kunyesha imezuia hayo mabasi yasifike huko. Naombeni msaada
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mawaziri wa Kilimo na Mifugo: Ajirini vijana wote wa SUA kozi ya Bio-processing Engineering

    Kwa hiyo hakuna wengine zaidi ya SUA? Acha ubaguzi wewe
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mvua, Dar: Watu 9 Wafariki, Mabasi ya mwendokasi yamesitisha huduma

    Mvua ikinyesha biashara ya mwavuli zinapaa
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kwa style hii hili kombe tunalibeba Mara kumi mfululizo

    Good
  7. G

    JamiiForums Tanzania Heshima ya SERIE A yarejea

    Pole sana!
  8. G

    JamiiForums Tanzania Heshima ya SERIE A yarejea

    Acha wivu wewe! Kajinyee
  9. G

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Fatma Karume (Fetty).

    Msamehe ndugu! Ni mahaba yake na soka!
  10. G

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Usiseme hivyo mambo yanabadika Ndugu
  11. G

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mama mzazi wa Mh. Mrisho Gambo amefariki dunia akiwa India kwa matibabu

    Pole sana Mh Mrisho Gambo! Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu unachopitia!
  12. G

    JamiiForums Tanzania Buffon: “Referee can’t have the cynicism to destroy the effort of a whole team

    Sawa kaka umewajibu vizuri! Kama wanaichukia Madrid waseme tu! Sie hata tukitolewa hatuna shida. Hilo ni soka
  13. G

    JamiiForums Tanzania Buffon: “Referee can’t have the cynicism to destroy the effort of a whole team

    Kwani haikuwa penati kweli? Huoni alivyomsukuma? Buffon hana adhabu alikosea sana
Back
Top Bottom