Heshima ya SERIE A yarejea

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,635
218,067
Baada AS ROMA kuifungisha virago FC BARCELONA kwa kipigo cha mbwa koko na Kibibi kizee JUVENTUS kuitandika REAL MADRID nyumbani kwao kwa idadi kubwa ya magoli , na kuokolewa na mwamuzi ( ambaye tetesi zinadokeza kwamba alikula rushwa ) , Heshima ya Ligi kuu ya Italia maarufu kana Serie A imerudi kwa kishindo.
 
Barca imekua timu ya kiboya yan hata fulham FC angelinda agg. Ya 4-1....by the way nani asiye jua kua Madrid wanakuaga 12 uwanjani pamoja na refa ....kama sikosei mchezo ujao Vidal ananyekundu tayari
 
Dah! Vidal akipigwa red ntakutafuta mkuu
 
Baada AS ROMA kuifungisha virago FC BARCELONA kwa kipigo cha mbwa koko na Kibibi kizee JUVENTUS kuitandika REAL MADRID nyumbani kwao kwa idadi kubwa ya magoli , na kuokolewa na mwamuzi ( ambaye tetesi zinadokeza kwamba alikula rushwa ) , Heshima ya Ligi kuu ya Italia maarufu kana Serie A imerudi kwa kishindo.
Kwa mechi ile nilivyoangalia bila kuweka ushabiki kuanzia dakika ya 75 Juventus walikua wamechoka sana na kulikua kuna kila dalili ya wao kufungwa, hata refa asingetoa penati(ilikua halali kwake kuitoa) bado katika zile dakika 120 Juve wangefungwa tu tena zaidi ya goli moja.
Kuingia kwa Asensio, Lucas na Kovavic kuliwaboost Madrid na hata Marcelo alikua keshaanza kupandisha mashambulizi.

I stand to be corrected!
 
Huo ni utabiri ambao haukutimia mjomba , mambo ya "Wange " , " Tunge " hayana nafasi wakati huu , kwani juve hawakuwa na watu kwenye benchi ?
 
Natamani irudi Milan ilee ya 2007 kurudi nyuma ilikua balaa ila sidhani kama Serie A ndio inarudi ila La Liga ndio imeshuka kidogo espicially msimu huu!Fc barca sio ile tunayoijua!Madrid wenyewe ndoivo wanatumia hadi nguvu za ziada ila Kuanzia mwakani tutarajie UCL nusu final timu 2 za EPL!
 
Sijaona sababu ya kurudi heshima ya serie A kisa kuofunga barca naadrid wakati wanamisimu zaidi ya 10 hawajachukua champions league heshima ya league huanzia kwenye cousin stance yake kwenye michuano kikubwa kama UEFA sasa kwa msimu huu tu tena ndio wako nusu mnaanza kuwapamba kiasi hiki
Alafu. Kitu mnasahau kwamba refa haongozwi kwa mihemko ya mashabiki anaongozwa. Kwa kanuni na sheria za. Soka hakuna sababu yasingi kusema et marefa waipendelee Madrid wao ni nani lakin pia kama refa akikosea huwa tunaskia kafungiwa au kapewa adhabu mafanozuri ni
Yule alie chezesha second leg ya marca vs PSG mwaka jana ilikuwa dhahiri kabisa na UEFA wakatake action
Lakin hakuna refa kawahi chezesha mechi ya Madrid had akafungiwa
Tuache mihemko tuzungumzie soka
Serie A bado sanaaaa kupata heshima yake ya miaka 10-15 iliyopita
 
Upo sawa mkuu, mambo ya wange yalipita na Madrid akafuzu.
Kwa hiyo sioni hoja ya kwamba ligi ya italy imefufuka kama ina mashiko tena.

Utabiri uliotimia ni Madrid alifuzu, mambo ya sijui alibebwa ni day dreams
Huo ni utabiri ambao haukutimia mjomba , mambo ya "Wange " , " Tunge " hayana nafasi wakati huu , kwani juve hawakuwa na watu kwenye benchi ?
 
Mtachonga sana ngenga ila Madrid atabaki kuwa Madrid nawashangaa sana mnapiga kelele yy anazidi kipopoma tu na wachezaji wake bado wanabeba ballon d'or na kikosi cha uefa cha msimu wanaingia karibia robo tatu ya first 11, ila mm napenda kuwashauri kitu kimoja wabongo usimchukie mtu usiyemjua vizuri na anaekuzidi kila kitu hadi dhambi anakuzidi ndio maana mmebaki taifa la kulipizana visasi na roho mbaya hadi kwa viongozi wa nchi.
 
Sijaona sababu ya kurudi heshima ya serie A kisa kuofunga barca naadrid wakati wanamisimu zaidi ya 10 hawajachukua champions league heshima ya league huanzia kwenye cousin stance yake kwenye michuano kikubwa kama UEFA sasa kwa msimu huu tu tena ndio wako nusu mnaanza kuwapamba kiasi hiki
Alafu. Kitu mnasahau kwamba refa haongozwi kwa mihemko ya mashabiki anaongozwa. Kwa kanuni na sheria za. Soka hakuna sababu yasingi kusema et marefa waipendelee Madrid wao ni nani lakin pia kama refa akikosea huwa tunaskia kafungiwa au kapewa adhabu mafanozuri ni
Yule alie chezesha second leg ya marca vs PSG mwaka jana ilikuwa dhahiri kabisa na UEFA wakatake action
Lakin hakuna refa kawahi chezesha mechi ya Madrid had akafungiwa
Tuache mihemko tuzungumzie soka
Serie A bado sanaaaa kupata heshima yake ya miaka 10-15 iliyopita
Yule refa hakufungiwa. Ni Story Za kwenye Vikao vya gahawa zilizozagaa karibia nchi mzima. Si Ajabu ukakuta EFM Na Clouds sports bar wana hii hoax
 
Sijaona sababu ya kurudi heshima ya serie A kisa kuofunga barca naadrid wakati wanamisimu zaidi ya 10 hawajachukua champions league heshima ya league huanzia kwenye cousin stance yake kwenye michuano kikubwa kama UEFA sasa kwa msimu huu tu tena ndio wako nusu mnaanza kuwapamba kiasi hiki
Alafu. Kitu mnasahau kwamba refa haongozwi kwa mihemko ya mashabiki anaongozwa. Kwa kanuni na sheria za. Soka hakuna sababu yasingi kusema et marefa waipendelee Madrid wao ni nani lakin pia kama refa akikosea huwa tunaskia kafungiwa au kapewa adhabu mafanozuri ni
Yule alie chezesha second leg ya marca vs PSG mwaka jana ilikuwa dhahiri kabisa na UEFA wakatake action
Lakin hakuna refa kawahi chezesha mechi ya Madrid had akafungiwa
Tuache mihemko tuzungumzie soka
Serie A bado sanaaaa kupata heshima yake ya miaka 10-15 iliyopita
Yule refa hakufungiwa. Ni Story Za kwenye Vikao vya gahawa zilizozagaa karibia nchi mzima. Si Ajabu ukakuta EFM Na Clouds sports bar wameingia mkenge wa hii hoax
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom