Recent content by Giningi01

  1. Giningi01

    JamiiForums Tanzania 1978 Watoto wa Rais Nyerere walienda vitani Mutukula kupigana dhidi ya Uganda iliyosaidiwa na Libya na ndugu zao Palestina!

    Sa Safari hii ni ndefu Sana, dini ikiguswa tu basi vichwa vinaachana na ubongo.
  2. Giningi01

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wanawake kumi (10) mashujaa na viongozi bora kuwahi kutokea Tanzania

    Hiyo ni orodha, kama hivyo uzi sio sahihi, hii ni kama upo kwenye assignment ya demographic report
  3. Giningi01

    JamiiForums Tanzania Kung'atuka siasani kwa Dr. Philip Mpango na Kassim Majaliwa Majaliwa wasaidizi wakuu wa Rais Samia, nini nyuma ya pazia ?

    Kila zama Zina nabii wake na Kila nabii ana kitabu chake
  4. Giningi01

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha kanisa katolilki nalo limeingia kwenye kundi la makanisa ya mchongo; ushahidi huuu hapa!

    Lengo ni nini? Kanisa limefanya makubwa kama serikali tu, sababu za kitenge kuingiza hapa inaelekea nia ovu ilikuwepo, uzi wako hauna cha maana.
  5. Giningi01

    JamiiForums Tanzania Maisha Kitendawili: Ole Sabaya Kapauka utadhani katoka Jela jana

    Comments zinafanana na majina yao, jf bw.
  6. Giningi01

    JamiiForums Tanzania TANZIA Henry Kissinger, Mwanadiplomasia mashuhuri zaidi wa Marekani afariki akiwa na umri wa miaka 100

    Nikisoma mgogoro wa Iran na US mwaka 1953 na CV ya huyu mzee naona Sera za Marekani zinazolalamikiwa zilianza kabla yake, atakuwa amechangia kusimamia au kujazia palipopungua.
  7. Giningi01

    JamiiForums Tanzania TANZIA Henry Kissinger, Mwanadiplomasia mashuhuri zaidi wa Marekani afariki akiwa na umri wa miaka 100

    Wa kwetu alikuwa anamjua Sana janja za Henry Kissinger,kwa kifupi alikuwa hawezi kudanganywa. Na Kissinger alimkubali Mwl.
  8. Giningi01

    JamiiForums Tanzania Marekani hakuna Rais daktari, CPT, Engineer wala Advocate? Kwanini hawapendi kusoma?

    Unaenda kunegotiate issues na ujumbe ambao hawajajiweka wazi kama unafanana nao au wao ni la saba? Then unababaika babaika tu, wao wanatazamana usoni,unajisikiaje hapo? Kuna mtu yalimkuta.
  9. Giningi01

    JamiiForums Tanzania USA vs China: Nchi ipi ina miji mizuri zaidi?

    Mchokozi !
  10. Giningi01

    JamiiForums Tanzania Benjamin Netanyahu: Kumuua kiongozi wa juu wa Iran ndio kutamaliza mzozo

    Itakuwa hivyo hivyo kama hamas tu,anayeingia anakula chuma
  11. Giningi01

    JamiiForums Tanzania USA vs China: Nchi ipi ina miji mizuri zaidi?

    Kujadili miji au majumba ya nchi zilizoendelea ni upuuzi,kwa sababu ni very obvious hivyo vitu ni vizuri.
  12. Giningi01

    JamiiForums Tanzania Mataifa ambayo ni vigumu kuyavamia kijeshi duniani

    Sijui kwa Nini 10 countries inapendwa sana katika listings nyingi,kama hii list ingekuwa na ranking basi Bhutan isingekuwemo,maana sababu zinazidiwa na na zingine kama Seychelles, Malta na wengine
  13. Giningi01

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu " Deep State " ilivyo na inavyofanya kazi

    Nasikia kuna deep state ya dunia,may have another acronym for sure lakini of similar functions kama hiyo,mwenye uelewa tafadhali.
Back
Top Bottom