Huwa zinarudi na ni hatari mno ikimdondokea binadamu kichwani waweza poteza maisha! Hivyo haishauriwi kupiga risasi juu hasa Kama kuna watu wengi! Jeshi huwa wanapiga blanks na sio risasi za moto wakiwa kwenye parade za maazishi nk!
"If u want to become a president you first have to behave and pose like a president then go down to look for votes" huu ni ushauri kwa pande zote mbili!!!usikimbilie kuolewa au kuoa kabla hujajifunza kupose,nguo ndefu notwithstanding!! Tuulizeni tuliofika jehanamu ya ndoa na kurudi ujue...
Twijuke:You can say that again:::
JK alianza kujijenga 10 yrs na akasaidiwa na EL.Mie leo nataka kumsikia JK akisema lolote kuhusu EL!!
Jamani,huyu Ndugu amesema "SIMAMA UHESABIWE" Tunaanza keleleeeeeeeeee
Nimegusa tu!!
Naomba niguse kwa wepesi No.3:
-Huoni kwamba nia na madhumuni ya kada huyu ni kuwaonyesha watanzania kuwa wasitegemee jipya saaana na kwamba ni wale wale kama wale wale
- Kwamba hata vijisenti kidooogo wanagawana na huruma ya kujenga visima haipo???Hivyo hakuna mtu mwenye nia dhati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.