Ha ha ha ha! waganga walikuwepo kabla dini zao kuletwa+ waganga walifuata utaratibu
Hivi Mrema alishinda Uraisi? Jamaa alitabiri pia jamaa atashinda au tuendelee kusubiri?
Hawa watu wanaboa sana na maneno yao wakati vyuo vyao hakuna kitu
Ninaomba Mungu kuwe na inter college examinations tuone kama UDSM wana uwezo wa kufanya mitihani ya Udom maana Udom tunaona Udsm wanafaidi sana lkn hatuongei
Watu tunakutana Nao Btp hata Log book hawajui halafu wanatamba tu...
Watu wasio na Kazi, Kazi yao kuu ni kupika majungu (rumour mongers) kama wewe.
Watu mnang'ang'ana na Udom tu bila tafiti yoyote mnakuja na mawazo ya mtaani tu (laymen perspectives)
No research no say.
Halafu unajiita msomi, umesoma lakini hujaelimika
Sent from my BlackBerry 9300 using...
Umesoma wapi wewe?
Njoo uchukue na ww ambayo Sio sahihi kwako?
When an allegator come from the
ocean and tell you a crocodile mother is sick will you doughty?
Unabisha bisha tu wakati kichwani kwako hakuna kitu. Ringia ujuzi uliopo kichwani Sio cheti cha chuo gani.
ASent from my...
Hapo ndipo nawashangaa wataalamu wetu waliopo Wizarani maana Mipango yao inabadilika badilika katika vipindi vifupi sana.
Napatwa na wasiwasi wamesoma wapi au ni Wale wenye vyeti bila ujuzi na maarifa
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ndugu yangu Lilendi kwa mfumo tulionao sasa mwenye taaluma kubwa ni mwenye digrii (cheti bila kuangalia ufanisi)
Ni kweli kuna upungufu wa walimu lakini Sio katika shule zote za Kata Tanzania hivyo utofauti ulitakiwa uonekane katika shule zenye walimu wa shahada wengi lakini matokeo ni Yale...
Hakuna ligi kaka hapa tatizo watu hawaelewi nini wanachozungumza. Mie nimesoma diploma na hiyo digrii pia hakika walimu wa diploma wako vizuri zaidi kitaaluma na kiutendaji.
Elimu kubwa inasaidia katika uzalishaji zaidi lakini kama haizalishi zaidi haina maana (human capital theory)
Shule za...
Nilitoa hiyo hoja kwa maana elimu ya Tanzania haichochei ubunifu na haitoi mwanya kwa ufikiri yakinifu.
Wewe na Watanzania wengi mnafikiri vyeti ni kila kitu na najua Human resource approach in planning inaongelea watu kama rasilimali nzuri kama wana ujuzi, weledi, uwezo na maarifa ambayo...
Mosi, Naomba tuwalinganishe katika uwajibikaji.
Pili, nawafahamu watu wengi walioacha kusoma digrii kwa sababu ya matatizo ya kifamilia mfano binti mmoja alifiwa na wazazi wake akabaki na wadogo zake pekee akakatisha masomo ya chuo kikuu akajiunga na diploma wakati huo unasoma mwaka mmoja na...
Watumishi wa wapi hawajalipwa? Arumeru mshahara uliwahi kuliko miezi mingine yote yaani tarehe 24 tulishapata + malimbikizo (ingawa si wote)
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Tusidanganyane katika hilo tunaweza tu kuboresha sera, falsafa na itikadi zake kwa kutoa mchango wa mawazo. Ujana sio tija wala kigezo cha kuchagua kiongozi mimi nahitaji kiongozi mzee au kijana atakayeanzisha na kusimamia mapambano ya kweli ya kujikomboa kiuchumi. Mpaka sasa sijaona yeyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.