Kupata mtaalamu sahihi ni kipengele sana kwa nchi yetu,
Bwana mifugo wetu hawa wanaoishi mjini ni tatizo kwani elimu kwa vitendo kwao hakuna.
Nasisitiza kuwa na chaguzi kwenye wataalam kwani wengi wao hawapo vizuri
Hivi jamani hata kama hatuna taaluma ya mifugo,kama vipimo vimeonesha kwamba kuku wanaminyoo,kwanini wasipewe dawa za minyoo mpaka watibiwe mafua?
Tiba ya minyoo unaanza kupata matokeo tangu siku ya kwanza tu unapoanza tiba,wakati mafua dozi ni siku tatu mpaka tano,hivi kweli usubiri kutibu...
Kimsingi bila majibu ya maabara hapa tutakua tunapiga ramli.Umehakiki vp kwamba kweli ni kideri?
Ukifuatilia kwa makini utaona dalili za kideri pia huwa zinaweza fanana na magonjwa mengine ya typhod.
Serikali kwenye hili wanakosea sana,
Yani uwanda mzima wa pwani VET ipo temeke!Vipimo vya...
Umenikumbusha mbali sana,
Marehemu mzee wetu aliacha laana kwa mtoto wake yeyote atakae jiunga na jeshi la polisi.
Sisi kama familia kwa maagizo ya marehemu mzee polisi ni kazi ya laana.
Tangu mh Nchimbi ajiudhuru mpaka sasa ni takribani siku ya nne lakini hakuna kauli yoyote ya mkuu wa nchi.
Kwa namna ya ukubwa wa jambo lenyewe ilipaswa mpaka sasa nchi iwe imesikia kauli yoyote kutoka kwa raisi lakini yuko kimya.
Kimkakati ni kama anaupima upepo kusikilizia yanayoendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.