Recent content by Gilala

  1. Gilala

    Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    msaada tafadhali s1489/0181/2010
  2. Gilala

    Madhara ya kuweka KARANGA PUANI

    Naomba mwenye ujuzi na haya mambo. Naomba kujua madhara pindi mtoto anapoingiza kitu "mf: karanga/harage nk." puan, madhara yake pia ni hatua gani kuifanya kama huduma ya kwanza(fast aid) iwapo vituo vya afya vipombali? Asubh ya leo Mwanangu kaweka karanga puani, baada ya kuzipokea taarifa...
  3. Gilala

    Kutoa shahawa usingizini.

    Asante kwa mtizamo wako.
  4. Gilala

    Kutoa shahawa usingizini.

    Mmmh jini tena?
  5. Gilala

    Kutoa shahawa usingizini.

    Kwanza mniwie radhi kwa Title yangu namna nilivyo iweka hapo juu. Nikwamba mie nina Ndoo na gereni(Mke&kimada) ila nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo, mara kwa mara ninapo lala huota ndoto kuwa nipo nafanya mapenzi na mtu, nikija kushituka asubuh hujikuta chupi imelowa yote shahawa. Zaman hii...
  6. Gilala

    software

    Ushauri mwingi lazima uchoke.
  7. Gilala

    Wajuzi hebu tusaidiane kwa hili

    Oya mbona kimya?
  8. Gilala

    Wajuzi hebu tusaidiane kwa hili

    Nimekuwa nikisikia watu wakisema, kuwa mtu mwenye mimba hasa changa hatakiwi kunywa dawa chungu mf:ALOE VERA,MWAROBAINI nk. yaweza kusababisha mimba kuharibika. Hii imetokea kwa jirani yangu mkewe alikuwa na mimba ya miez3 ikaharibika, lakin baadae ikaja gundulika kuwa alilamba aloe vera...
  9. Gilala

    For JamiiForums Mobile users

    hapo sawaaa!
  10. Gilala

    Nawezaje kumpa mtu link

    Sasa nimeiva hebu tizama HAPA
  11. Gilala

    Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    hey hey hey! Asante sn na mungu akuongezee.
  12. Gilala

    Wasichana wawili walikuwa wamekutana peponi!

    Km ckosei iliwa kuwepo hapa.
  13. Gilala

    Toa maoni yako kwenye katiba mpya.

    Shule za boding boys&girls walale bwen moja.
Back
Top Bottom