Wasichana wawili walikuwa wamekutana peponi!

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
[h=6]Wasichana wawili walikuwa wamekutana peponi! Huku wakiongea..
Warda: wee imekuaje mtoto mzuri hivyo umekuja huku?
Samia: aah acha2 yani nlipigiwa simu kuambiwa mume wangu amekwenda nyumbani na mwanamke nkarudi fasta, kufika nlimkuta sittin room. Nlizunguka kila kona hadi kutandua mashuka sikukuta kitu! Nkapata presha nkafa!
Warda: dah pole sana ungecheki kwenye friji sahivi wote tungekuwa wazima...
Hahhahahahahahahaha amakweliii
[/h]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom